Kamanda si umeambiwa uchaguzi umeasha,sasa ni kazi tu. Unataka upozwe machungu vipi? Unataka joto la uchaguzi lipoe vipi?
Mnataka mpozwe vipi?Mada nyingine uwe unapita tu kimya kimya Mkuu hata kama upo kazini.
Kamanda si umeambiwa uchaguzi umeasha,sasa ni kazi tu. Unataka upozwe machungu vipi? Unataka joto la uchaguzi lipoe vipi?
Mnataka mpozwe vipi?
Sawa unataka joto la Uchaguzi lipozwe vipi? Uchaguzi umeisha sasa ni kazi tu...sikiliza kwanza hizo hotuba.
..mada yangu inahusu walioshinda na walioshindwa.
..na inawahusu wagombea wa nafasi zote.
Huna cha kunishauri kamanda. Kazi imeanza we chapa kazi tu. Hakuna cha maneno ya kulemba.Fanyia Kazi Ushauri wangu Mkuu.
Huwezi kumwelewa.Sawa unataka joto la uchaguzi lipozwe vipi? Uchaguzi umeisha sasa ni kazi tu.
Kamanda umeambiwa kampeni zimeisha na Watanzania wameshinda. Siasa zinahamia bungeni. Mikutano na maandamano Sasa Basi, tuijenge nchi.
Tatizo hawezi kusikiliza kwa sababu ana kazi ya kupitia nyuzi nyingi na kuchafua hali ya hewa. Hii mada siyo level yake huyu...sikiliza kwanza hizo hotuba.
..mada yangu inahusu walioshinda na walioshindwa.
..na inawahusu wagombea wa nafasi zote.
Huna cha kunishauri kamanda. Kazi imeanza we chapa kazi tu. Hakuna cha maneno ya kulemba.
Hiyo ya Kitwana Kondo ilikuwa mbaya sana kwa sababu watu wa Kigamboni walimtema Masudi aliyewapigania sana kwenye suala la Kivuko. Nakumbuka alikataa kurudisha shilingi yake kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi mpaka Mustafa Nyang'anyi alipomhakikishia upatikanaji wa kivuko cha uhakika. Alikataa hata alipowekwa mtu kati kwenye kikao cha chama. Watu wake wakamsaliti baada ya Kitwana Kondo kuwapa kanga na pilau!Ina apply ukishinda kihalali
Na ukishindwa kihalali...
Tanzania tuna mifano ya watu wawili ambao waliwahi kuongea ukweli wakachukiwa
Ingawa ukweli mtupu..
Kitwana Kondo
Iddi Simba..
Hawa baada ya kusambaza pesa hadi wanashinda kuteuliwa na chama na kushinda
Uchaguzi walipofuatwa na waliojifanya waliwasaidia kushinda waliwaeleza ukweli mchungu..
'mimi na nyinyi tumeshamalizana..niliwapa hela mkanipa kura ..msinisumbue..
--- Iddi Simba..
'hamkunichagua nyinyi..pesa yangu ndo imenichagua'
- Kitwana Kondo