Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Akili ikitumika ndio mazoezi ya ubongo... kukaa kimya nako ni matumizi ya akili si lazima kujibu au kufungua mdomo kwa kila usikiacho...Mnataka mpozwe vipi?
Jibu swali, mnataka joto la uchaguzi lipoe vipi?Akili ikitumika ndio mazoezi ya ubongo... kukaa kimya nako ni matumizi ya akili si lazima kujibu au kufungua mdomo kwa kila usikiacho...
Mpumbavu hujulisha upumbavu wake pindi afunguapo kinywa chake...
Mkuu hao "majamaa" huwa hawana muda wa kusikiliza wala kusoma bali kujibu tu...Sikiliza kwanza hizo hotuba. Mada yangu inahusu walioshinda na walioshindwa na inawahusu wagombea wa nafasi zote.
Acha kushirikisha tumbo na mdomo... jikite kwenye mada. Sikiliza..., soma..., tafakari kisha toa jawabu...Jibu swali, mnataka joto la uchaguzi lipoe vipi?
Hoja ni kupoza joto la uchaguzi,sasa wewe unataka lipozwe vipi? Kwa maneno ya kisiasa? Uchaguzi umeisha tufanye kazi.Acha kushirikisha tumbo na mdomo... jikite kwenye mada. Sikiliza..., soma..., tafakari kisha toa jawabu...
Tanzania ni mali ya watanzania. Umoja na upendo haviji kwa kejeli na kashfa... wala haviletwi kwa matumizi ya nguvu na mihemko...
Endelea kuchemsha tumbo badala ya ubongo..
Wakiona maKOMANDOO na miJESHI wakipita mbele yao wanaamini hata Mungu sichochoteMambo mengine kufanywa hasa na Watawala wa Afrika ni ngumu sana ,ni Msamiati kwao na hawawezi kuelewa kabisa wao wana waza kutawala tu Mkuu.
Asante sana.Ina apply ukishinda kihalali
Na ukishindwa kihalali...
Tanzania tuna mifano ya watu wawili ambao waliwahi kuongea ukweli wakachukiwa
Ingawa ukweli mtupu..
Kitwana Kondo
Iddi Simba..
Hawa baada ya kusambaza pesa hadi wanashinda kuteuliwa na chama na kushinda
Uchaguzi walipofuatwa na waliojifanya waliwasaidia kushinda waliwaeleza ukweli mchungu..
'mimi na nyinyi tumeshamalizana..niliwapa hela mkanipa kura ..msinisumbue..
--- Iddi Simba..
'hamkunichagua nyinyi..pesa yangu ndo imenichagua'
- Kitwana Kondo
Mkuu nimesoma vizuri kabisa na kusikikiza,mnataka joto la uchaguzi lipoe vipi baada ya Chadema kushindwa? Mnataka maneno ya kisiasa ili iweje? Uchaguzi umeisha nendeni mkafanye kazi.Mkuu hao "majamaa" huwa hawana muda wa kusikiliza wala kusoma bali kujibu tu...
Acha kushirikisha tumbo na mdomo... jikite kwenye mada. Sikiliza..., soma..., tafakari kisha toa jawabu...
Tanzania ni mali ya watanzania. Umoja na upendo haviji kwa kejeli na kashfa... wala haviletwi kwa matumizi ya nguvu na mihemko...
Endelea kuchemsha tumbo badala ya ubongo..