Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #21
Ha ha haaaaa huko sio poa mwananguUkiona chuma imeingia mtaroni iyoo ajari tuu ila asubuhi akiipeleka gereji akaipa supu na chapati mbili ngoma inarudi mzigoni broo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaa huko sio poa mwananguUkiona chuma imeingia mtaroni iyoo ajari tuu ila asubuhi akiipeleka gereji akaipa supu na chapati mbili ngoma inarudi mzigoni broo...
Amini kabisa, unavoinua watu nawe utainuliwa....Hope so nitazingatia haya my lovely sister
Hope soo... sema binadam sio wakitoboa wananipotezea daaahAmini kabisa, unavoinua watu nawe utainuliwa....
I wish you the best baba J.
Wait hebu njoo pm tuongee vizuri, here is the shoulder to cry on.....Zile nguvu za kusimama tena ndo natafuta sijui ntazipata wapi, kwasababu naogopa mipango saana maana naona ka najitia nuksi nikiwa na mipango
Umenipa bonge la tabasamu mwanangu😆😆😆😆😆Wait hebu njoo pm tuongee vizuri, here is the shoulder to cry on.....
But not a puss* to ride on 😹
Mkuu nafikiri kabla ya kupanga mipango huwa tunasahau kujipanga, sasa uhusiano kati ya wewe being na hiyo mipango ndio utaokupa mafanikio yako.Wasalaam ndugu zangu waswahili,
Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately.
Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha??
Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu nikiwa napambania kutimiza ndoto zangu.
I have tried kufanya biashara za kimaifa pamoja na kushirikiana na makampuni ya kimataifa.
Nimejaribu tasnia kadhaa ambazo zilisemekana zinaweza kukupa network au mafanikio kama burudani, madini,kilimo, teknolojia na siasa.
Nilikua very strategically mwenye hasira ya mafanikio bila uoga, kwa waganga nikaenda, mashekhe na manabii.
Sasa nikiwa nimevuka zaid ya nusu ya umri wa kustaafu nahisi uwezo wa kufikiria, ndoto na mikakati sina tena kutokana na kutofanikiwa kwa jambo lolote lile nililo invest na kusifiwa na watu wakubwa na mashughuli kwa nilio wafahamu...
Nimekua nikiulizwa na watu niliokua nao wakafanikiwa kufikia malengo yao kwamba kwann mimi sijatoboa ?? Nakosa majibu kabisaa naduwaa
So now naona maisha yangu yapo autopilot naishi maisha yatakavyo na si nitakavyo kwasababu naona nikiweka mikakati isipotokea basi ikitimia inakuja na changamoto kubwa hata siwezi dumu katika hayo mafanikio...
Natamani kurudi kwenye fomu kua na ndoto, ambition na hasira za kupanga na kupambana kutoboa, je nitumie mbinu gani kurudisha matumaini mapya ya mafanikio????
Mwamposa anawauzia dawa za asili kwa jina la yesu. Nikuhakikishie zile chumvi, mafuta, udongo nk zinafanya kazi bila hata maombi ya Mwamposa.Mbona kina mwamposa wanafanikiwa??
Soma post namba 29.How is to use mantiki nisaidie ufafanuzi hapa??
I take a note from this... ahsanteMkuu nafikiri kabla ya kupanga mipango huwa tunasahau kujipanga, sasa uhusiano kati ya wewe being na hiyo mipango ndio utaokupa mafanikio yako.
Mfano labda unataka kuinvest kwenye jambo lolote lile kufanikiwa kwako kutategemea uwezo wako wa kujiuliza maswali na kupata majibu kuhusu jambo hilo kabla ya kuinvest.
Hayo ni mawazo yangu nimegundua baada ya kufeli sana project zangu nyingi, kimsingi nilikuwa sijiulizi maswali deep na kupata majibu kabla ya ku jump in sasa mwisho wa siku matokeo ndo kama hayo ya kufeli.
Conclusion: Hakikisha una uwezo mzuri wa kujiuliza maswali yatayohusu jambo unaloenda kulifanya maana majibu utayopata kulingana na maswali yako ndo yatabeba mafanikio ya hiyo project.
NakubaliMwamposa anawauzia dawa za asili kwa jina la yesu. Nikuhakikishie zile chumvi, mafuta, udongo nk zinafanya kazi bila hata maombi ya Mwamposa.
Tumia mantiki katika kila maamuzi yako, usiingize hisia kwenye mikakati yako.