Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

Ukiona chuma imeingia mtaroni iyoo ajari tuu ila asubuhi akiipeleka gereji akaipa supu na chapati mbili ngoma inarudi mzigoni broo...
Ha ha haaaaa huko sio poa mwanangu
 
Zile nguvu za kusimama tena ndo natafuta sijui ntazipata wapi, kwasababu naogopa mipango saana maana naona ka najitia nuksi nikiwa na mipango
Wait hebu njoo pm tuongee vizuri, here is the shoulder to cry on.....

But not a puss* to ride on ๐Ÿ˜น
 
Mpaka kwa waganga umeenda? Ungekuwa serious ungefanikiwa ila huenda uliogopa masharti.
 
Mkuu nafikiri kabla ya kupanga mipango huwa tunasahau kujipanga, sasa uhusiano kati ya wewe being na hiyo mipango ndio utaokupa mafanikio yako.

Mfano labda unataka kuinvest kwenye jambo lolote lile kufanikiwa kwako kutategemea uwezo wako wa kujiuliza maswali na kupata majibu kuhusu jambo hilo kabla ya kuinvest.

Hayo ni mawazo yangu nimegundua baada ya kufeli sana project zangu nyingi, kimsingi nilikuwa sijiulizi maswali deep na kupata majibu kabla ya ku jump in sasa mwisho wa siku matokeo ndo kama hayo ya kufeli.

Conclusion: Hakikisha una uwezo mzuri wa kujiuliza maswali yatayohusu jambo unaloenda kulifanya maana majibu utayopata kulingana na maswali yako ndo yatabeba mafanikio ya hiyo project.
 
Mbona kina mwamposa wanafanikiwa??
Mwamposa anawauzia dawa za asili kwa jina la yesu. Nikuhakikishie zile chumvi, mafuta, udongo nk zinafanya kazi bila hata maombi ya Mwamposa.

Tumia mantiki katika kila maamuzi yako, usiingize hisia kwenye mikakati yako.
 
I take a note from this... ahsante
 
Mwamposa anawauzia dawa za asili kwa jina la yesu. Nikuhakikishie zile chumvi, mafuta, udongo nk zinafanya kazi bila hata maombi ya Mwamposa.

Tumia mantiki katika kila maamuzi yako, usiingize hisia kwenye mikakati yako.
Nakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ