Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #241
Binaural beats zinafaa baadhi sana na kwa sauti ya ile husaidia pia utulivu lakini kwa watu wanaoanza wasioweza kufunga outer chatter ndio huanzia beat nazo hazitaki utumie muda mrefu.Niwie radhi mkuu kwa maswali yangu. Meditation sahihi inafaa kufanywa mtu akiwa amelala au ameketi. Mi Mara nyingi huwa najaribu kufanya nikiwa nimelala chali na matokeo yake nakuja kushtuka asubuhi nikiwa sikumbuki chochote. Swali lingine youtube kuna sound beats za meditation (binaural vibration) nikweli huwa zinasaidi au hazisaidii?
Na kama zinasaidia mbona inasemwa kuwa meditation inahitaji utulivu wa hali ya juu sana, Sasa kwenye beats mbona kunakuwa hakuna utulivu tena?
Unaweza kukaa mkao wowote ukifanya meditation kubwa uwe umetulia
Rakims