Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Yah Ni nzur sna na Zina furaha ya ajabu
 
Naona hii inafana na astral projection. Kunaotofauti gani kati ya lucid na astral projection
 
Maana yake ni kuwa katika ukoo wenu mna mashetani ya kuwaweka wenye kukosa maendeleo zaidi ya kusemana na kukaa kaa kama mliokosa uelekeo hakuna kinachotakiwa kusonga,

Jambo la kwanza jitoe kwenye maagano ya ukoo.
Kisha anza kutafuta maisha yako watakutafuta kwa upendo na roho zao zitafunguka utaanza kuwaota vizuri na mtapendana

Rakims
 
Naona hii inafana na astral projection. Kunaotofauti gani kati ya lucid na astral projection
Lucid dream ni za ndani ya mwili wako mwenyewe.

Astral projection ni experience za nje ya mwili wako mwenyewe.

Rakims
 

Nitawezaje kumzuia mtu asiweze kuni control kwa kupitia lucid dreams?
 
Mimi hiyo Lucid dream nilikuwa siijui japo nilikuwa naitendea haki na imenisaidia katika mambo yafuatayo na nimeijua kama ni lucid baada kuuona huu Uzi

Yaan imesaidia kuweza kuntrol ndoto zote mbaya yaan mfano labda nimeota nipo porini na Simba basi nachofanya nakuwa invisible hivyo kuanzia nilipojua huu ujanja hakuna mtu au kitu kibaya kinaweza kunikuta nikiwa katika hatari yoyote nakuwa invisible hivyo hatari inanikosa
Ya pili naweza kuenda sehemu yoyote nimeshatoka nje ya dunia mara nyingi yaan napaaa kama zile rocket umbali mrefu natoka nje naiona dunia ile ndogo
Ya mwisho uwezo wa kufanya maajabu yaan mfano napigana na watu hata kama 10 basi nafanya maajabu nakuweza kuwaua wote
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…