Samsung a 11Unatumia simu gani inayokataa Snaptube,
Ile warning kua app si salama isikutishe wewe select kua unaichagua yenyewe tu kisha endelea kuburudika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejaribu hii?WAJUZI...naomba msaada wa kupakuwa video kutoka youtube nimeshindwa kabisa kupakuwa video nilikuwa na tumia videorder now inagoma kabisa kufanya kazi kwenye simu yangu natumia samsung a11 kila nikijaribu kuweka apk za kupakuwa video samsung securty inagoma kuinstall app msaada tafadhali kama kuna njia nyingine
Cheki hii Online LibraryMimi naomba application software ambayo nitachukua kitabu kinachouzwa amazon na kwenye website nyingine
Anza na hiyoNisaidie kunitajia action muvi nzuri ambazo waafrika wenzetu wameigiza au kushirikishwa na pia. Ziwe zimeshotiwa baadhi ya maeneo ya afrika zilzoko youtube nianze kutizam ukiondoa hotel rwanda
Asante mkuuCheki hii Online Library
Hope itakufaa
Asante na nyingine pia zilete ming ming natak nizipakue nitizame moja after ingine
Tuma bundle otherwise google.Asante na nyingine pia zilete ming ming natak nizipakue nitizame moja after ingine
Yaani unaomba software ya kuiba kitabu au mali ya mtu amazon?Mimi naomba application software ambayo nitachukua kitabu kinachouzwa amazon na kwenye website nyingine
Asante .ukipokea bando langu utanitumia tu hapa hapa usijali weka namba yako
Yaani unaomba software ya kuiba kitabu au mali ya mtu amazon?
Hivi mkuu ushawahi kuandika hata page 3 ukaona jinsi ilivyo mtiti kuandika kitabu?
Tumia Videorder mkuuapp gani naweza download videos kutoka YouTube kwenye PC wakuu...?
Torch imekataa kwenye PC yangu
Tafuta pesa wewe acha kuunga-ungaWana jf naombeni mnipe utaalam wa ku download youtube video katika format ya MP4. Zamani video za utube tulikuwa tunazidownload katika Mp4 mojakwamoja, but siku za hivi karibuni format inayokuja ni mp4 lakin haichezi katika player za kawaida kama vlc na kadharika. Zinacheza kwenye player yao ya PLAYit. Msaada wa hili plss...