Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

kama unatumia PC tumia 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux

kwenye simu https://www.videoder.com
Web results
Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for ...
Samahani mkuu naomba msaada wa video editor (free) inayoweza kuunganisha video nyingi kwa pamoja na pia kudowload na kukata video na kufanya editing zingine kadha wa kadha. Nilikuwa natumia hii hapa chini lakini sasa hivi imegoma wanataka eti nilipie, nami sina pesa. Please assist mkuu.

Jinsi ya kuitumia ingia youtube jifunze.
 
Jinsi ya kuitumia ingia youtube jifunze.
Du! Imeshindikna kuwa installed kwenye window seven yangu mkuu. Hatari!!!

1621113817219.png
 
Wana jf naombeni mnipe utaalam wa ku download youtube video katika format ya MP4. Zamani video za utube tulikuwa tunazidownload katika Mp4 mojakwamoja, but siku za hivi karibuni format inayokuja ni mp4 lakin haichezi katika player za kawaida kama vlc na kadharika. Zinacheza kwenye player yao ya PLAYit. Msaada wa hili plss...
Mkuu mp4, mkv, avi etc haya ni macontainer kama ni chakula hizi ni sahani tu, kazi yake ni kubeba Video, Audio, subtitle etc.

Kinacho determine video kuplay ama kutoplay ni codecs, ambazo hutengeneza hio video sasa, zipo kama x264, x265, vp8, vp9, Av1, divx etc.

Google Ana ugomvi na umoja wa mpeg hivyo anaforce codecs zake zitumike vp8, vp9, Av1 etc hizi codecs si common, codecs ambazo ni Common ni kama x264, x265 etc ambazo zimetengenezwa na hao kina mpeg.

Ukiwa na kifaa smart kama simu ama laptop program kama vlc zinaplay codecs zote, ila vifaa ambavyo sio smart hasa vya kizamani ni kweli hutaweza kuplay.

Solution download video editor kama Handbrake Kisha tumia hio video editor kuconvert video file kwenda mp4 yenye codecs za x264.

Handbrake ni bure utaipata hapa
 
Mambo vipi wadau, naomba kuelekezwa app au namna ya kudownlod contents toka YouTube, mwanzo nilikuwa natumia VIDEO ORDER bt kwa sasa naona kama wameiondoa google na playstore.
 
Back
Top Bottom