lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 266
- 377
Tuliza mshono. Hujaliazimishwa, kama hujui kaa kimya.Tafuta pesa wewe acha kuunga-unga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza mshono. Hujaliazimishwa, kama hujui kaa kimya.Tafuta pesa wewe acha kuunga-unga
Samahani mkuu naomba msaada wa video editor (free) inayoweza kuunganisha video nyingi kwa pamoja na pia kudowload na kukata video na kufanya editing zingine kadha wa kadha. Nilikuwa natumia hii hapa chini lakini sasa hivi imegoma wanataka eti nilipie, nami sina pesa. Please assist mkuu.kama unatumia PC tumia 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux
kwenye simu https://www.videoder.com
Web results
Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for ...
Samahani mkuu naomba msaada wa video editor (free) inayoweza kuunganisha video nyingi kwa pamoja na pia kudowload na kukata video na kufanya editing zingine kadha wa kadha. Nilikuwa natumia hii hapa chini lakini sasa hivi imegoma wanataka eti nilipie, nami sina pesa. Please assist mkuu.
Free Video Editor - Best video editing software for windows
An easy to use video editing software for windows.www.thundershare.net
kdenlive.org
Asante sana mkuu. Ngoja nika install tuone kama yenyewe haitaniletea mawenge. Shukrani!![]()
Kdenlive - Video Editing Freedom
Kdenlive is a powerful free and open source cross-platform video editing program made by the KDE community. Feature rich and production ready.kdenlive.org
Jinsi ya kuitumia ingia youtube jifunze.
Du! Imeshindikna kuwa installed kwenye window seven yangu mkuu. Hatari!!!![]()
Kdenlive - Video Editing Freedom
Kdenlive is a powerful free and open source cross-platform video editing program made by the KDE community. Feature rich and production ready.kdenlive.org
Jinsi ya kuitumia ingia youtube jifunze.
Du! Imeshindikna kuwa installed kwenye window seven yangu mkuu. Hatari!!! Nimejibiwa kama ifuatavyo:
Achana nayo
Hiyo sizani kama ina support 32 bits! Ni lazima window yako iwe 64 bits!
🤣🤣Tafuta pesa wewe acha kuunga-unga
samahani niko nje ya maada,kama unatumia PC tumia 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux
kwenye simu https://www.videoder.com
Web results
Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for ...
Mkuu mp4, mkv, avi etc haya ni macontainer kama ni chakula hizi ni sahani tu, kazi yake ni kubeba Video, Audio, subtitle etc.Wana jf naombeni mnipe utaalam wa ku download youtube video katika format ya MP4. Zamani video za utube tulikuwa tunazidownload katika Mp4 mojakwamoja, but siku za hivi karibuni format inayokuja ni mp4 lakin haichezi katika player za kawaida kama vlc na kadharika. Zinacheza kwenye player yao ya PLAYit. Msaada wa hili plss...
Asante sana mkuu nitaifanyia mazoez hii njia.Fungua video husika, then nenda pale juu kwenye URL
Ongeza herufi ss kabla ya neno youtube then bonyeza enter.
Eg www.ssyoutube....
Mkuu shukran sana, nimeipata na iko vzr sana, ubarikiwe sana mkuu. Case closed.Tafuta vidmate itafute Google