Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Nenda ile sehemu ya ya link ya video kwenye youtube edit pale nyuma ya nukta mbele ya neno youtube weka herufi hizi mbili PP then enter hutojutia
 
WAJUZI...naomba msaada wa kupakuwa video kutoka youtube nimeshindwa kabisa kupakuwa video nilikuwa na tumia videorder now inagoma kabisa kufanya kazi kwenye simu yangu natumia samsung a11 kila nikijaribu kuweka apk za kupakuwa video samsung securty inagoma kuinstall app msaada tafadhali kama kuna njia nyingine
 
hiyo
Screenshot_20210508-150319.jpg
 
Unatumia simu gani inayokataa Snaptube,
Ile warning kua app si salama isikutishe wewe select kua unaichagua yenyewe tu kisha endelea kuburudika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kunitajia action muvi nzuri ambazo waafrika wenzetu wameigiza au kushirikishwa na pia. Ziwe zimeshotiwa baadhi ya maeneo ya afrika zilzoko youtube nianze kutizam ukiondoa hotel rwanda
 
Hiyo ndio haitak kabisa huwa inanipa ujumbe kuwa app ninayo taka kuinstall haiko salama kwahy kma nataka kuitumia ivo ivo inakuwa haiko na ubora
Maranyingi hizi App zakupakua nje ya Googleplay zinaletaga ujumbe huo chakufanya wenenda setting kabadilishe iko kipengelele chakuinstall unofficil app ndo utaweza kuinstall namara nyingi huwa inakupeleka yenyewe mojakwamoja kwene hiko kipengele pindi unapoclick install..
au umefuata procedure zote izo nabado imekataa?
 
Back
Top Bottom