Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Fungu YouTube video unayotaka kwenye pc. then copy link yote ya ile video. Nenda Google search neno Y2mate ingia kwenye hiyo website. Utaona sehemu ya kupaste link. Ipaste ile link ya video kutoka YouTube. Baada ya sekunde chache itatokea video kwa chini pamoja na button ya kudownload. Bonyeza download na quality unayotaka au kama unataka audio. Then itatokea kibox kimeandikwa download then utadownload kwa browser yako. Hope it will help.