Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Zipo nyingi, ila kwangu nazingatia ubora wa video pamoja na urahisi.

Baadhi zinakosa options nyingi hasa kwa baadhi ya format.

Option ya SaveFromNet nachukua video kutoka chanzo chochote hata katika mitandao ya kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husika na kichwa cha somo,

Naomba kuelekezwa namna ya kudownload video from YouTube into my device.

Asante.
 
Tumia kati ya hizi app kutoka GOOGLE.
Videoder,
Tubemate au
Snaptube..

More than simple
Screenshot_20200504_203300.jpg
Screenshot_20200504_203352.jpg
Screenshot_20200504_203443.jpg
 
Tumia SS.

Yaani hi hivi, fungua youtube kwa kutumia browser sio App.

Kisha search video unayotaka. Kisha ikisha play, nenda juu pale kwenye address edit ile link address kwa kuadd ss nyuma ya neno youtube.

Na itasomeka kwa mfano

ssyoutube.com/djsn27nsndj39

Kisha piga inter itakupeleka sehemu kuna button ya kudownload

Emaphakadeni
 
Rahisi sana, download app ya vidmate kutoka Google search, install kisha download video yoyote kutoka youtube kwa ubora utakaotaka.
 
Finally, tubemate imekubali. Nashukuru sana wote mliojitolea kwa hali na mali katika kunisaidia.
 
Back
Top Bottom