Videoder.
Ikisumbua hiyo fanya kama ifuatavyo.
1.Fungua video unayoihitaji.
2.Nenda kwenye dots 3 za juu kulia, chagua 'Share' kisha italeta options nyingi.
3. Copy links(video adress).
4.Nenda katika browse, search Online videoconverter/Online video downloader/Youtube to mp4. Zote hizo zinafaa, ikifunguka itaweka uwazi na kisha...
5.Paste link.
6. Download format uipendayo katika size unayoyaka.
NB.Baadhi ya simu hazina option ya kushare/copy link hasa kama unafanya update ya YouTube yako mara kwa mara
Unaweza pia kuCopy link, then searh
SaveFromNet
Utaweza kudownload pia hasa videos
Sent using
Jamii Forums mobile app