Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Habari wana jamii forums,

Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye Youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na Youtube downloader na IDM, program gani zingine ninaomba kujulishwa.

Ninasubiri msaada wenu.

Asante.
Download Torch browser.
Ukiweka youtube app ukifungua video tu uki play video kuna kimshale pale juu kabisa kulia kina point chini cha blue bonyeza hicho halafu rudi hapa tuambie. Ila quality unachagua mapema.
 
Habari zenu wadau?

Naomba mnisaidie kunijuza ni app gani naweza kudownload video yoyote ya YouTube kwenye simu yangu.

Ahsanteni.

Sent using Samsung Galaxy A7 (2018)
 
Videoder.

Ikisumbua hiyo fanya kama ifuatavyo:

1. Fungua video unayoihitaji.
2. Nenda kwenye dots 3 za juu kulia, chagua 'Share' kisha italeta options nyingi.
3. Copy links(video adress).
4. Nenda katika browse, search Online videoconverter/Online video downloader/Youtube to mp4. Zote hizo zinafaa, ikifunguka itaweka uwazi na kisha...
5. Paste link.

6. Download format uipendayo katika size unayoyaka.

NB. Baadhi ya simu hazina option ya kushare/copy link hasa kama unafanya update ya YouTube yako mara kwa mara

Unaweza pia kuCopy link, then searh SaveFromNet
Utaweza kudownload pia hasa videos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu
Videoder.

Ikisumbua hiyo fanya kama ifuatavyo.
1.Fungua video unayoihitaji.
2.Nenda kwenye dots 3 za juu kulia, chagua 'Share' kisha italeta options nyingi.
3. Copy links(video adress).
4.Nenda katika browse, search Online videoconverter/Online video downloader/Youtube to mp4. Zote hizo zinafaa, ikifunguka itaweka uwazi na kisha...
5.Paste link.

6. Download format uipendayo katika size unayoyaka.

NB.Baadhi ya simu hazina option ya kushare/copy link hasa kama unafanya update ya YouTube yako mara kwa mara

Hapa pazuri
 
Watumia Simu
Vidmate

Unaweza kudownload video Youtube, Instagram,Facebook n.k ni nzuri kwa simu.

Watumia Pc
Idm(internet download manager)
Video yeyote kwenye site yeyote swaka tu ikiplay kwenye screen unaweza kudownload.
 
Hii vidmate ata niisearch vipi kwenye playstore siipati ile ya kudownload video ya youtube.
 
Muonekano wake[emoji1541]
Screenshot_20200420-224732~2.jpeg
 
Back
Top Bottom