Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Yap YapAsante mkuu ngoja nifanye ivyo. Hii app inavunja sheria km whatsap gb. Huiwezi kuipata playstore
Gb WhatsApp
Gb insta
n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap YapAsante mkuu ngoja nifanye ivyo. Hii app inavunja sheria km whatsap gb. Huiwezi kuipata playstore
App kama hizi huwa hazipatikani playstore sababu zinavinja sheria.
Nenda google search utaipata
Muonekano wake[emoji1541]View attachment 1425182
Zipo nyingi, ila kwangu nazingatia ubora wa video pamoja na urahisi.
Baadhi zinakosa options nyingi hasa kwa baadhi ya format.
Option ya SaveFromNet nachukua video kutoka chanzo chochote hata katika mitandao ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha zinakaa na siwez kuzitumia.Hizo app zote zinakataa kudownload
Mkuu asante lakini nimejaribu hizi zote zimeshindikana, zinataka ni upgrade.Install 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux tumia, ikianza kuzingua ( mara nyingi huwa wanataka ukitumia muda mrefu upgrade to Premium ) Uninstall Download Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for Android and PC . Enjoy
Very quality videos !
inakataa mkuufata hatua hizi,nenda kwenye video husika,bofya kitufe cha "share" halafu "copy" then nenda moja kwa moja kweny google chrome search kitu inaitwa "savefrom.net" ikifunguka paste copy yako ya link from youtube mengine yatajieleza yenyeweView attachment 1357660
labda link yko imekua blocked na mwenye kazi yakeinakataa mkuu