Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Fungu YouTube video unayotaka kwenye pc. then copy link yote ya ile video. Nenda Google search neno Y2mate ingia kwenye hiyo website. Utaona sehemu ya kupaste link. Ipaste ile link ya video kutoka YouTube. Baada ya sekunde chache itatokea video kwa chini pamoja na button ya kudownload. Bonyeza download na quality unayotaka au kama unataka audio. Then itatokea kibox kimeandikwa download then utadownload kwa browser yako. Hope it will help.
 
Nenda Google download SNAPTUBE Ina pakua videos audio na Ni kutoka mitandao ya kijamii Kama WhatsApp, Instagram, Facebook na tweeter Ina pakua videos na mp3,mp4
 
Kwa iPhones nenda App store download file inaitwa documents then ukiifungua nenda google andika Y2mate.com hapo utakuwa unapaste link kutoka youtube then una download free of charge ni data zako tu
 
Habari wana jamii forums,

Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye Youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na Youtube downloader na IDM, program gani zingine ninaomba kujulishwa.

Ninasubiri msaada wenu.

Asante.
4K video downloader
 
fata hatua hizi,nenda kwenye video husika,bofya kitufe cha "share" halafu "copy" then nenda moja kwa moja kweny google chrome search kitu inaitwa "savefrom.net" ikifunguka paste copy yako ya link from youtube mengine yatajieleza yenyeweView attachment 1357660
Mkuu hebu tuelekeze vizuri hii kitu. Mimi downloader zote nilizokuwa nazo zimegoma.....wananitaka ni upgrade.
 
Naomba Kujua namna ya kudownload playlist zima Youtube kwa njia ya simu.

Wakurugwa naomba mnasaidie njia ama application ya kudownload playlist Youtube.

Nmejaribu apps mbali mbali ikiwemo Vidmat, ila mwisho wa siku nikimaliza kudownload kunabaadhi yavideo zinakuwa azitaki kuplay kwa Players nyengine isipokuwa PLAYit.

Msaada wenu tafadhari.
 
Habari wadau


Kwa wale wajuvi,

Naomba msaada namna ninaweza kupakua video kutoka You tube.

Natanguliza shukran
 
Habar wakuu kwa yeyote anayefaham App nzuri kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa.

Asanteni nawasilisha
 
Upakuaji wa video kutoka kwa mhusika bila idhini au kibali ni kosa kisheria. Upakuaji video ni uvunjifu wa sera za faragha na mifumo ya kidijitali.
 
Videoder app yangu pendwa japo kwako unadai inagoma
 
Back
Top Bottom