Habari wakuu, nimeona niandike kifupi njia ambazo huwa nazitumia kupata video/Sauti(audio za youtube). Nitajaribu kuelezea njia mbalimbali hasa extensions, kutumia softwares au sites ambazo utaweka link kisha zenyewe zitakusaidia.
EXTENSIONS
Njia nayotumia muda mrefu na rahisi, hii ni kwa wanaotumia computers ambapo browser ya mozilla nadhani ndio yenye extension nyingi zaidi. Unachofanya ni kuiwekea extension browser yako unayotumia. Mfano ukifungua browser yako ya mozilla unaenda sehemu ya menu kisha palipoandikwa Adds On na kutafuta kati extension zifuatazo ambazi kwa maono yangu ndio bora.
1.Download youtube video as MP4: Nzuri sana na haijawahi kunisumbua tatizo lake inashusha video yako kwa mfumo mmoja tu wa MP4, hivyo kama una matarajio zaidi ya MP4 inaweza isiwe nzuri kwako.
2.
Youtube video and audio downloader: Nzuri pia na inashusha video na audio kwa mifumo mingi(Unaweza kupata video unayoangalia kama audio). Tatizo lake pamoja na kuweza kudownload sauti lakini huwezi kupata MP3 ambayo ndio rahisi kutumia na inakubalika sehemu nyingi.
3.
Youtube MP3: Inakuja kusahihisha udhaifu wa extension ya pili hapo juu kwa kupata MP3 lakini haina option nyingine zaidi ya MP3.
4:
Download helper: Hii ni nzuri zaidi, inakwenda mbali zaidi ya yotube, unaweza kupata video kutoka kwenye sites nyingi sana. Unaweza kuweka kuweka kwenye browsers za Mozilla na Chrome
NB: Unaweza kuziweka zote nne kwa pamoja na kuchagua ipi utumie kulingana na muktadha wa wakati huo.
SOFTWARES
1. IDM: Baba lao, popote unapocheza video yenyewe inajitokeza(pop) na kama utapenda kuwa nayo video unayoangalia basi utapobofya na kuipata papo hapo. Hii zaidi ya kukuwezesha kupata kama video pia ni accelerator nzuri sana na kwangu ni nzuri zaidi nikipenda zaidi uwezo wake mzuri wa ku-pause na resume download yako pale internet inaposumbua, kuzima PC na kadhalika. Udhaifu wake inauzwa hivyo itabidi ununue ama uipate kupitia njia za panya(Torrents).
TOVUTI(SITES)
Kutumia tovuti: Unacopy link ya video na kuweka kwenye tovuti na yenyewe inakupa video yako. Site gani? Zipo nyingi sana, Just google upate site kulingana na unavyopenda
SIMU
TUBE MATE: Tube mate ni app ambayo unaweka kwenye simu yako na utaangalia video za youtube kupitia app hii ambapo itakupa uwezo wa kuzidownload endapo utazihitaji. App hii haipo play store ya google hivyo itabidi uiweke bila kupitia playstore kwa kuipata kwenye site ya tubemate. Ukishaidownload(APK) utaibofya ili uweze install(Baadhi ambazo haziwezi kuweka apps zisizotoka google play utaenda kwenye security setting za simu na kuruhusu apps zisizotoka google play kwa kutick sehemu palipoandikwa 'Unknown sources).
[B]Casuist[/B]
======
Unaweza kudownload youtube videos kwa urahisi katika simu yako na video zinakua na quality ya hali ya juu.
Hatua za kufuata ni chache na rahisi sana:
1. Fungua
www.youtube.com katika simu yako na katika search box, tafuta video unayoitaka na uifungue kama unaplay.
2. Copy link katika browser yako juu pale
3. Fungua
tuberku.com - Ce site est en vente! - Portail d'informations na shuka chini kuna place iko wazi imeandikwa "Paste a youtube video URL here" fanya kupaste na bonyeza kitufe cha GO
4. Itaprocess URL yako na itakuletea kitufe cha DOWNLOAD bonyeza hicho kitufe na chagua location ya kusave video yako. Enjoy
NB: kwa watumia wa blackberry kama mimi, hutotakiwa kuhofia MB, kwasababu blackberry data plan yako ndo itatumika 100%
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple
1. Ingia www.youtube.com
2.Tafta video unayoitaka then iplay
3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa http://www. then weka ss
Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza