Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Tube mate is da best app for utube videoz, i use it for yrs now.
Extra: dowload any dowload manager,, via google play.
 
Habari wakuu, nimeona niandike kifupi njia ambazo huwa nazitumia kupata video/Sauti(audio za youtube). Nitajaribu kuelezea njia mbalimbali hasa extensions, kutumia softwares au sites ambazo utaweka link kisha zenyewe zitakusaidia.

EXTENSIONS
Njia nayotumia muda mrefu na rahisi, hii ni kwa wanaotumia computers ambapo browser ya mozilla nadhani ndio yenye extension nyingi zaidi. Unachofanya ni kuiwekea extension browser yako unayotumia. Mfano ukifungua browser yako ya mozilla unaenda sehemu ya menu kisha palipoandikwa Adds On na kutafuta kati extension zifuatazo ambazi kwa maono yangu ndio bora.

Youtube.JPG

1.Download youtube video as MP4: Nzuri sana na haijawahi kunisumbua tatizo lake inashusha video yako kwa mfumo mmoja tu wa MP4, hivyo kama una matarajio zaidi ya MP4 inaweza isiwe nzuri kwako.

2. Youtube video and audio downloader: Nzuri pia na inashusha video na audio kwa mifumo mingi(Unaweza kupata video unayoangalia kama audio). Tatizo lake pamoja na kuweza kudownload sauti lakini huwezi kupata MP3 ambayo ndio rahisi kutumia na inakubalika sehemu nyingi.

3. Youtube MP3: Inakuja kusahihisha udhaifu wa extension ya pili hapo juu kwa kupata MP3 lakini haina option nyingine zaidi ya MP3.

4: Download helper: Hii ni nzuri zaidi, inakwenda mbali zaidi ya yotube, unaweza kupata video kutoka kwenye sites nyingi sana. Unaweza kuweka kuweka kwenye browsers za Mozilla na Chrome

NB: Unaweza kuziweka zote nne kwa pamoja na kuchagua ipi utumie kulingana na muktadha wa wakati huo.

SOFTWARES
1. IDM:
Baba lao, popote unapocheza video yenyewe inajitokeza(pop) na kama utapenda kuwa nayo video unayoangalia basi utapobofya na kuipata papo hapo. Hii zaidi ya kukuwezesha kupata kama video pia ni accelerator nzuri sana na kwangu ni nzuri zaidi nikipenda zaidi uwezo wake mzuri wa ku-pause na resume download yako pale internet inaposumbua, kuzima PC na kadhalika. Udhaifu wake inauzwa hivyo itabidi ununue ama uipate kupitia njia za panya(Torrents).

TOVUTI(SITES)
Kutumia tovuti: Unacopy link ya video na kuweka kwenye tovuti na yenyewe inakupa video yako. Site gani? Zipo nyingi sana, Just google upate site kulingana na unavyopenda

SIMU
TUBE MATE: Tube mate ni app ambayo unaweka kwenye simu yako na utaangalia video za youtube kupitia app hii ambapo itakupa uwezo wa kuzidownload endapo utazihitaji. App hii haipo play store ya google hivyo itabidi uiweke bila kupitia playstore kwa kuipata kwenye site ya tubemate. Ukishaidownload(APK) utaibofya ili uweze install(Baadhi ambazo haziwezi kuweka apps zisizotoka google play utaenda kwenye security setting za simu na kuruhusu apps zisizotoka google play kwa kutick sehemu palipoandikwa 'Unknown sources).

[B]Casuist[/B]

======

Unaweza kudownload youtube videos kwa urahisi katika simu yako na video zinakua na quality ya hali ya juu.

Hatua za kufuata ni chache na rahisi sana:
1. Fungua www.youtube.com katika simu yako na katika search box, tafuta video unayoitaka na uifungue kama unaplay.

2. Copy link katika browser yako juu pale

3. Fungua tuberku.com - Ce site est en vente! - Portail d'informations na shuka chini kuna place iko wazi imeandikwa "Paste a youtube video URL here" fanya kupaste na bonyeza kitufe cha GO

4. Itaprocess URL yako na itakuletea kitufe cha DOWNLOAD bonyeza hicho kitufe na chagua location ya kusave video yako. Enjoy

NB: kwa watumia wa blackberry kama mimi, hutotakiwa kuhofia MB, kwasababu blackberry data plan yako ndo itatumika 100%

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa http://www. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
 
Wapendwa nimeona movie nzuri sana kwenye YOUTUBE nimejaribu kui-Download ili niiweke computer yangu nimejaribu lakini nimeshindwa nikaona nikimbilie hapa ili nisaidiwe,
Nawasilisha.
========

Habari wakuu, nimeona niandike kifupi njia ambazo huwa nazitumia kupata video/Sauti(audio za youtube). Nitajaribu kuelezea njia mbalimbali hasa extensions, kutumia softwares au sites ambazo utaweka link kisha zenyewe zitakusaidia.

EXTENSIONS
Njia nayotumia muda mrefu na rahisi, hii ni kwa wanaotumia computers ambapo browser ya mozilla nadhani ndio yenye extension nyingi zaidi. Unachofanya ni kuiwekea extension browser yako unayotumia. Mfano ukifungua browser yako ya mozilla unaenda sehemu ya menu kisha palipoandikwa Adds On na kutafuta kati extension zifuatazo ambazi kwa maono yangu ndio bora.

Youtube.JPG

1.Download youtube video as MP4: Nzuri sana na haijawahi kunisumbua tatizo lake inashusha video yako kwa mfumo mmoja tu wa MP4, hivyo kama una matarajio zaidi ya MP4 inaweza isiwe nzuri kwako.

2. Youtube video and audio downloader: Nzuri pia na inashusha video na audio kwa mifumo mingi(Unaweza kupata video unayoangalia kama audio). Tatizo lake pamoja na kuweza kudownload sauti lakini huwezi kupata MP3 ambayo ndio rahisi kutumia na inakubalika sehemu nyingi.

3. Youtube MP3: Inakuja kusahihisha udhaifu wa extension ya pili hapo juu kwa kupata MP3 lakini haina option nyingine zaidi ya MP3.

4: Download helper: Hii ni nzuri zaidi, inakwenda mbali zaidi ya yotube, unaweza kupata video kutoka kwenye sites nyingi sana. Unaweza kuweka kuweka kwenye browsers za Mozilla na Chrome

NB: Unaweza kuziweka zote nne kwa pamoja na kuchagua ipi utumie kulingana na muktadha wa wakati huo.

SOFTWARES
1. IDM:
Baba lao, popote unapocheza video yenyewe inajitokeza(pop) na kama utapenda kuwa nayo video unayoangalia basi utapobofya na kuipata papo hapo. Hii zaidi ya kukuwezesha kupata kama video pia ni accelerator nzuri sana na kwangu ni nzuri zaidi nikipenda zaidi uwezo wake mzuri wa ku-pause na resume download yako pale internet inaposumbua, kuzima PC na kadhalika. Udhaifu wake inauzwa hivyo itabidi ununue ama uipate kupitia njia za panya(Torrents).

TOVUTI(SITES)
Kutumia tovuti: Unacopy link ya video na kuweka kwenye tovuti na yenyewe inakupa video yako. Site gani? Zipo nyingi sana, Just google upate site kulingana na unavyopenda

SIMU
TUBE MATE: Tube mate ni app ambayo unaweka kwenye simu yako na utaangalia video za youtube kupitia app hii ambapo itakupa uwezo wa kuzidownload endapo utazihitaji. App hii haipo play store ya google hivyo itabidi uiweke bila kupitia playstore kwa kuipata kwenye site ya tubemate. Ukishaidownload(APK) utaibofya ili uweze install(Baadhi ambazo haziwezi kuweka apps zisizotoka google play utaenda kwenye security setting za simu na kuruhusu apps zisizotoka google play kwa kutick sehemu palipoandikwa 'Unknown sources).

[B]Casuist[/B]
 
Ulichofanya ni nini katika jaribio lako la kupakua video? Lengo la swali ni kujua ulipoishia ili niendeleze maelezo. Mimi hapa nina 8GB za bundle ya airtel ninapakua kwa kutumia realplayer. Hebu nieleze ulichofanya so far
 
Xilisoft Download YouTube Video nimejaribu kutumia hiyo program lakini haikufanya kazi ime-download 600kb ikagoma kabisa.
 
Copy link katika hiyo page ya youtube baada ya kuwa kama umei-play, then fungua http://www.tuberku.com/ Paste hiyo link katika sehemu imeandikwa "paste your youtube url her" kisha bonyeza kitufe cha GO na baada ya hapo itaprocess hiyo url na kukupa sehemu imeandikwa DOWNLOAD click hapo na chagua location ya kusave file lko. It's done

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Thanks sana man..nikisafiri kwenda mjini,I will try using the method on my BB phone..thanks
 
Njia rahisi sana ambayo tuliwekewa hapa ni kudownload from the net. Unaiplay video kwenye YouTube kisha unaenda hapo juu kwenye link inayoplay unaondoa hiyo www. unaweka ss bila kuacha nafasi mfano itakuwa hivi (ssyoutube/phgfxxcc.vvfc....) then click enter, itakuja moja kwa moja button ya download.
 
Copy link katika hiyo page ya youtube baada ya kuwa kama umei-play, then fungua KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more! Paste hiyo link hapa enter the link of the video you want to download kisha bonyeza kitufe cha DOWNLOAD. kama inavyoonekana hapo chini

keepvideo.PNG na baada ya hapo itaprocess hiyo url na kukuletea matokeo haya
keepvid.PNG
Hapo utachagua download mp4 yenye resolution kubwa ili kupata video nzuri.

Baadaye itafungua na iatakutaka uchague sehemu ya kusave kama inavyoonekana hapo chini.

save.PNG

chagua sehemu yoyote unayotaka kusave.
 
Ulichofanya ni nini katika jaribio lako la kupakua video? Lengo la swali ni kujua ulipoishia ili niendeleze maelezo. Mimi hapa nina 8GB za bundle ya airtel ninapakua kwa kutumia realplayer. Hebu nieleze ulichofanya so far

Mkuu hzo gb 8 umezipataje na kwa sh ngapi???
 
Naomba kuuliza kama unaweza ku download video yoyote ile YouTube au kuna nyingine mpaka kibali?
 
Mkuu hzo gb 8 umezipataje na kwa sh ngapi???
Hiyo ni promosheni ya airtel iliyopo hadi sasa, ukinunua modem yao sh. 30,000/= wanakuwekea na 8 GB kwa mwezi za kuanzia. Nilikuwa na modem ya tigo ambayo ningenunua 3 GB kwa mwezi, nikaona niongezee elfu tano ili hiyo elfu thelathinii nipate modem + 8 gb, na sasa ninazo modem mbili, muda ukiisha nitaamua niiwekee ipi kati ya hizo.
 
Wapendwa nimeona movie nzuri sana kwenye YOUTUBE nimejaribu kui-Download ili niiweke computer yangu nimejaribu lakini nimeshindwa nikaona nikimbilie hapa ili nisaidiwe,
Nawasilisha.
Ndg,pakua Browser inaitwa Torch kisha install kwenye pc yako hii ina kila kitu unachokihitaji ktk kupakua video,kumbuka kuinstall ukiwa online
 
Hiyo ni promosheni ya airtel iliyopo hadi sasa, ukinunua modem yao sh. 30,000/= wanakuwekea na 8 GB kwa mwezi za kuanzia. Nilikuwa na modem ya tigo ambayo ningenunua 3 GB kwa mwezi, nikaona niongezee elfu tano ili hiyo elfu thelathinii nipate modem + 8 gb, na sasa ninazo modem mbili, muda ukiisha nitaamua niiwekee ipi kati ya hizo
oh poa kama hvyo basi sawa nilijua kwene vifurushi vyao vya kawaida.
 
Back
Top Bottom