figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
Mkuu C6 nasikia kulikuwa na mkali anaitwa e2themiza bonge la Ticha je yu wapi siku hizi?thanks wadau, nimedownload idm mpya kama alivyosema chief-mkwawa now zinashuka tena napata option ya kuchagua quality ya video. thanks everyone
wadau langu kubwa kuhusu IDM link inayotokea ya kudownload video ninayo ichagua na video inayokuwa downloaded ni tofauti tatizo ni nini? yaani video hiyo inajirudia rudia mara kibao ya jamaa moja hivi bonge limevaa vest na boxer nyeupe.. this is serious boring au ndo adware wenyewe hawa.
una key Yoyote mkuu ya idm, nirushie
chief-mkwawa hili swali pia linakuhusu
chief-mkwawa hili swali pia linakuhusu
chief-mkwawa hili swali pia linakuhusu
hua e2themiza ye anapoteaaa then akija anakuja na kitu kikali ndio style yake
Nadhani amestaafu haya mambo so mda huu anakula pension yake bil bughzaDu huyu mkali kapotea too much sitegemei wala kumuona
Nilikumbana na hili tatizo ila nimeweza kulimaliza..idm za zamani haziwezi kudownload videos za you tube.cha kufanya download idm version 6.17 inapatikana torrent..toa ile ya kwanza then install idm mpya..inadownload kila kitu hata online tv kama kiss tv yani ni noumaaaaa
jamaa uwa anapotea na kuibuka, ila akirudi uwa ni shangwe sana. Maana anashusha vitu mpk.basi
nashindwa kuangalia video zenye nembo ya vevo,naambiwa the uploader has not made this video available in you country.nifanye nini kwa mwenye uelewa tafadhali
najua hilo ndio tatizo hamna solution nyingine coz natumia pd proxy!!tumia vpn yenye server ya nchi husika
mkuu hilo bonge na vest ni tangazo la xgf vile videmu vilatino sjui ni visumbufu sana we unadhani unadownload video kumbe idm imedaka video ya page nyengine ambayo imefunguka kwa nyuma bila uelewa wako. fanya mambo haya.
1. ukiingia website za wizi wizi kama za torrent au za kudownload movies kunakua na matangazo unapoclick links au hata kuscroll yanatokea kwa mbele ya page au nyuma basi we yaclose
2. kama solution ya juu ni ngumu kwako tumia adblocker hizi zitablock matangazo yote page yako itakua clean.
adblocker nzuri ni extension za google chrome na firefox so we just google.
tayari nimeshaitoa na nimeishea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-stor...-download-manager-idm-6-17-full-mtotosix.html
sijui whats wrong with me
Nime upgrade to 6.17 lk bado
Ijaribuni hii video
Nicki Minaj - Super Bass - YouTube