figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
mkuu jaribu kutumia hii
Nenda google play download kitu inaitwa MediaClipPRo....speed yake hakuna mfano...mpaka Youtube...ukiinstall search page yeyote hata you tube ukishapat file unalotaka kudownload select download ....mia