Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Nenda playstore tafuta tubemate...au nenda ka google tubemate apk:cool2:
 
Ile ya playstore cyo ingia google mobilestore thn search for tube mate thn download
 
Pia unaweza kudownload videorder. Ni nzuri na rahisi kutumia
 
Tomabo YouTube Video Downloader
hii ni best youtube downloader ever sijapata kuona, naomba kila mmoja akaijaribu halafu mlete feedback.
download hapa
 
Wakuu kwa mwenye kujua, naomba anijuze jinsi ya ku download video kutoka Youtube.
 
download tubemate, hii Playstorw huipati ila serach google na utaipata, then utadownload mafile yako.
 
Play video au music kisha kazitafute kwenye temp file utazikuta zinakusubili uzipe name na application tu umeua mchezo kilaini kama unalia
 
Kuna njia ingine ukiwa youtube umeshfungua video yake.
Elekea pale kwenye url ( www.youtube.com)

Ongeza herufi ss baada ya www.
Ionekane hivi www.ssyoutube.com

Bofya enter

Itakuletea page ya save to file
Chagua format inayokufaa.
you made my lyfe simple...asante sana kwa USEFUL post yako. hapana tena kuhangaika na ma idm and the likes...
 
you made my lyfe simple...asante sana kwa USEFUL post yako. hapana tena kuhangaika na ma

idm


and the likes...

IDM and ss youtube links are bit Irrelevant !
U can still use this way and add Downloading links on IDM so on you can download your video fast !
 
wataalam habar zenu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kuchukua movie ama video ama audio ama picha nilizopenda kutoka you tube maana nashindwa kabisa naona share tuu wala sion download.msaada wenu jaman
 
Back
Top Bottom