Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa sijakuelewa mdau labda unipe link kabisa.Ile ya playstore cyo ingia google mobilestore thn search for tube mate thn download
hapa sijakuelewa mdau labda unipe link kabisa.
Youtube video downloader HD ingia hapa: Youtube Downloader HD - Fastest Free Youtube Video Downloader
Wakuu kwa mwenye kujua, naomba anijuze jinsi ya ku download video kutoka utube
you made my lyfe simple...asante sana kwa USEFUL post yako. hapana tena kuhangaika na ma idm and the likes...Kuna njia ingine ukiwa youtube umeshfungua video yake.
Elekea pale kwenye url ( www.youtube.com)
Ongeza herufi ss baada ya www.
Ionekane hivi www.ssyoutube.com
Bofya enter
Itakuletea page ya save to file
Chagua format inayokufaa.
you made my lyfe simple...asante sana kwa USEFUL post yako. hapana tena kuhangaika na ma
idm
and the likes...