Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

hata sio proxy. hii imetokea hata kwangu. ila uki update idm inakuwa fresh. nadhani youtube wanachange how video is streamed. maana hata downloader zingine nilizonazo zinaiona video ila ni Kb tu...

Mm niko old version ila inapakua bila shida
 

Attachments

  • CABLE.PNG
    54.2 KB · Views: 114
Samahanini wakubwa naomba mnifahamishe namna ya ku download youtube video's kwenda kwenye simu tafadhali.

Ahsanteni
 
Ngoja nikusaidie kuita
cc mwl RTC
cc chief mkwawa
na wengineo wataalam wa I.C.T.
 
Mkuu kama unatumia android kuna dude linaitwa tubemate ni mwisho wa matatizo yaan speed yake ni mara kumi ya pc
pakua hapa
Share TubeMate with friends Featured App! TubeMate YouTube Downloader http://tubemate.net
 
Samahanini wakubwa naomba mnifahamishe namna ya ku download youtube video's kwenda kwenye simu tafadhali Ahsanteni

Kuna option mbili:


  1. Kwa kutumia application mfano Tubemate, Videoder n.k, download na install katika simu yako
  2. Au kwa kutumia browser kama UC Browser au Opera mini

Jinsi ya kudownload video toka youtube kwa kutumia browser; Fuata haya maelekezo
Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:

ahsante sana mkuu
ubarikiwe sanaaa
 

mkuu ni TUBEMATE AU TUBEMOTE? namimi kupitia uzi huu nataka kujifunza pia ila nimeingia Playstore hakuna TUBEMATE kuna TUBEMOTE au ndio iyo iyo?
 
ingia playstore andika kwenye search box VIDMATE halafu download. utainjoy xana. mana kuna mambo mengine ya kutosha. enjoy ur self
 

ahsante kiongoz ime download ila inakataa inaandika FOR SECURITY YOUR PHONE ISN'T ALLOWED TO DOWNLOAD APPS FROM UNKNOWING RESOURCES

nimeogopa kuforce
sa
sijui inakuaje hapo?
 
ahsante kiongoz ime download ila inakataa inaandika FOR SECURITY YOUR PHONE ISN'T ALLOWED TO DOWNLOAD APPS FROM UNKNOWING RESOURCES

nimeogopa kuforce
sa
sijui inakuaje hapo?

Ndo maana nasema i allow hiyo haina shida
 
Skia ingia Google play kisha download MX video downloader! Kwisha
 

Ile mimba ulishajifungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…