Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps. Sasa twende pamoja ha2a kwa hatua.
1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7
2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika"
YouTube
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini