Hakuna haja ya kutumia tubemate jaribu hizi hatua chache
1-Unatakiwa uwe na uc browser iwe latest version sio mini wala lite
2:-Fungua uc browser yako
3:-Angalia chini katikati kuna mistari mitatu click it itakupeleka kwenye menu yake
4:-Chagua sehemu iliyoandikwa uc ads on
5:- angalia kuna sehemu ina + sign click it
6:-itakupeleka kwenye apps
7:- chagua video downloader then download na u-install
8:- Tayari umeshamaliza rudi
9:-Toka na ufungue upya browser yako
10:-nenda kwenye alama ya YouTube ifungue
11:- Chagua video unayoitaka na click kuicheza utatokea alama ya kudownload click it tayari itaanza kudownload