Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Ukimaliza ikifunguka search video unayo itaka kisha ifungue hiyo video kwajuu utaona mshale wa kijani bofya huo mshale utaletewa quality unayotaka chagua quality kulingana na matakwa yako kisha video itaanza kupakuliwa kutoka youtube.
 
Ukiwa unataka kudownload kutoka YouTube. Fungua site ya www. Save from.net. kisha copy link ya video unayotaka kudownload.
 
Ukiwa unataka kudownload kutoka YouTube. Fungua site ya www. Save from.net. kisha copy link ya video unayotaka kudownload.

Kwa wasio na simu zenye uwezo wa ku install hiyo tubemate waweza tumia hii site www.savefrom.net.
Fungua youtube search video uitakayo ikija copy link ya hiyo video kisha fungua www.savefrom.net kisha paste ile link uliyo copy baada ya hapo malizia step ya kudawnload kwa kuchagua resolution ya video utakayo.
 
thanx
Kuna option nying za kuchagua quality ya video.. Ipi iko poa?
 
ok wakuuu asante na sory kwa kutokuw specific ila nilikuw namaanisha kwa kutumia sim
 
Habari zenu wakuu..
Naomba mwenye ujuzi au maufundi ya jinsi ya kudownload video kuleee youtube anipe
mana google nasikia waameblock ile njia ya kuandika(ssyoutube.com) na nimejaribu jna nimeshindwa msaada wenu tafadhari

Mbona Mimi natumia ssyoutube mpaka sasa napakua movie ya kijapani na mijisongi inakubali tu
 
ok wakuuu asante na sory kwa kutokuw specific ila nilikuw namaanisha kwa kutumia sim

Badala ya kuweka ""ss""

Weka ""9x""

Itafunguka page nyingine, chagua quality na anza kudownload kama awali ulivyokuwa ukifanya.
 
Badala ya kuweka ""ss""

Weka ""9x""

Itafunguka page nyingine, chagua quality na anza kudownload kama awali ulivyokuwa ukifanya.

asante mkuu ngoja nijaribu na nitarudisha majibu
 
Asante mkuu ile ya 9X imekubali kwang

Hiv jamani kumbe kuna njia nyingi za kudownload hiz video youtube mm nilikuw nafaham lbda (ss) na Apps ndo zinaweza hiyo kaz
kma yapo mengin jmani naombeni mniambie ili niyaelew...
 
unaweza tumia app ya mobogenie kudownload video youtube
 
Back
Top Bottom