Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Tumia UC mini browser ina down loader kwenye cm na UC browser kwenye laptop
 
linapoanza neno youtube weka kiss pili jaribu kucheck java version yako.
 
Njia nyingi kama walivoeleva wadau hap juu but IDM ndo rahisi zaid sababu ina capture link automatically
 
Habarini wapendwa, naomba mwenye kujua software nzuri ili niweze kudownload videos youtube.
Natanguliza shukran
 
Download software inaitwa video order, through google, hiyo mpango mzima, video yoyote hata iwe ngumu vipi hapo inakaa
 
waweza pia tumia Torch Browser, una download for free kabisa
 
Habari za jumapili wataalam, naomba msaada namna ya kudownloa videos za YouTube kwenye simu yangu ya Android.
Natanguliza Shukrani nyingi
 
Nenda playstore. application inaitwa VIDIMATE nzuri sana. bt muda mwnge huwa playstore inazingua mpaka upate link. Jarbu ukshndwa .nichek Whatsapp NIKUTUMIE link ili iwe easy ku acces. 0768765322.
 
Kuna downloader moja inaitwa "Tubemate downloader" idownload ila haipo ktk playstore hivyo search ktk google kawaida
 
Nenda playstore. application inaitwa VIDIMATE nzuri sana. bt muda mwnge huwa playstore inazingua mpaka upate link. Jarbu ukshndwa .nichek Whatsapp NIKUTUMIE link ili iwe easy ku acces. 0768765322.

Asante ngoja nijaribu then nitakupa feedback
Asante
 
Waweza pia fanya manually bila software,nenda kwenye browser yako mfano operamini,fungua page ya youtube kisha tafuta video unayotaka tazama,click hio video then itakuja katika frame kubwa kuliko zinazofuata then do as follows.

nenda kwenye sehemu ya adress ya browser yako.kama inavyoonesha picha hapo chini katika sehemu yenye kuzungushiwa red lines

yutub2.png
then futa texts zote za mwanzoni na bakiza as follows.(mfano)

https://www.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hizo texts nyekundu futa zote na hiyo nukta then replace kwa kuweka neno ss as follows

ssyoutube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hata kama adress ilikuja na kuanza na text m.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hakikisha unafuta kuanzia nukta kurudi nyuma na replace suffix ss.

utafunguaka mtandao mwingine unaitwa savefrom.net hapo utakuta video yako,upande wa kushoto utaona vide yako upande wa kulia utaona format za video,

kisha utachagua unataka ku-download video katika format ipi labda 360p,720p,3gp n.k inategemea unataka quality kiasi gani labda mp4 au 3gp.

savefrom-net.jpg

savefrom-net.jpg
hapo juu palipo na red lines unachagua files na penye blue lines ndio kuna video yako

kisha utapress kwenye either 360p au nyinginezo na kuanza download,pia kama ni simu ni vizuri kumalizia kwa kutumia download manager ili kudownload faster.

same procedure hata kwenye computer na si lazima utumie operamini,hata built in browser inaweza tumika.
 
Nenda kwenye SETTING ya simu yako. utaoona Sehemu iloandkwa Allow application from unknown source. then weka tik. hapo itakubali
 
Waweza pia fanya manually bila software,nenda kwenye browser yako mfano operamini,fungua page ya youtube kisha tafuta video unayotaka tazama,click hio video then itakuja katika frame kubwa kuliko zinazofuata then do as follows.

nenda kwenye sehemu ya adress ya browser yako.kama inavyoonesha picha hapo chini katika sehemu yenye kuzungushiwa red lines

View attachment 234802

then futa texts zote za mwanzoni na bakiza as follows.(mfano)

https://www.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hizo texts nyekundu futa zote na hiyo nukta then replace kwa kuweka neno ss as follows

ssyoutube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hata kama adress ilikuja na kuanza na text m.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc

hakikisha unafuta kuanzia nukta kurudi nyuma na replace suffix ss.

utafunguaka mtandao mwingine unaitwa savefrom.net hapo utakuta video yako,upande wa kushoto utaona vide yako upande wa kulia utaona format za video,

kisha utachagua unataka ku-download video katika format ipi labda 360p,720p,3gp n.k inategemea unataka quality kiasi gani labda mp4 au 3gp.

View attachment 234806

View attachment 234807
hapo juu palipo na red lines unachagua files na penye blue lines ndio kuna video yako

kisha utapress kwenye either 360p au nyinginezo na kuanza download,pia kama ni simu ni vizuri kumalizia kwa kutumia download manager ili kudownload faster.

same procedure hata kwenye computer na si lazima utumie operamini,hata built in browser inaweza tumika.

shukran mkuu nikishindwa ntaku PM
 
Habari za jumapili wataalam, naomba msaada namna ya kudownloa videos za YouTube kwenye simu yangu ya Android.
Natanguliza Shukrani nyingi

http://dw9.en.uptodown.com/dw/1426428067/c6c10ead25de396a1171d51e5b7361a7d096090a/tubemate-youtube-downloader-2-2-5-multi-android.apk
 
Back
Top Bottom