Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Habari za jumapili wataalam, naomba msaada namna ya kudownloa videos za YouTube kwenye simu yangu ya Android.
Natanguliza Shukrani nyingi

Au waweza tumia kiicon kama cha mpira kwenye simu yako ingia Google halafu search VIDEORDER pia ni nzuri kwa kudownload video za youtube
 
Ndio maana naipenda JF jamani yaani nimepata nilichokuwa nakitaka na zaidi.
Asanteni sana kwa msaada Mungu awabariki!
 
Hata mi nimei-download hiyo tubemate Ni Nzuri na easy kuitumia.
 
zzz.png
Kwa watumiaji wa smartphones hii ni njia rahisi mno ya kudownload video za youtube, kwa kutumia hii application utaweza kuchagua kustream au kudownload video yako katika quality tofauti, huna haja ya kuroot simu yako cha kufanya download hii app then install and enjoy

download hapa QFS.mobi - Download 2107105
 
Tubemate ndo bab kubwa so. Search kwenye google.. au nicheki kwenye 0755942353
 
Wakuu ukiachana na idm na youtube downloader ni ipi program nyingine ya kudownload ambayo iko fasta na ya uhakika. Msaada tafadhari.
 
Wakuu ukiachana na idm na youtube downloader ni ipi program nyingine ya kudownload ambayo iko fasta na ya uhakika. Msaada tafadhari.
  • EagleGet itakidhi mahitaji
  • Tofauti ya EagleGet na IDM ni kuwa EagleGet ni Bure, wakati IDM lazima ununue au utumie baada ya kui_crack
  • Pia EagleGet ina features ambazo IDM haina.
Download EagleGet Hapa
Code:
 http://www.eagleget.com/download/
EagleGet

Free universal download accelerator. Supports HTTP, HTTPS, FTP, MMS and RTSP protocol. EagleGet uses multi-threaded technology to accelerate downloads. You can download video, music, documents, applications in Chrome, IE, and Firefox with single click.

Support YouTube, Facebook, Dailymotion, as well as many other web videos. Resume broken downloads and save your time.

The well-designed interface and task manager will help you do more with doing less, maximize your productivity. EagleGet is completely free without any additional conditions.
 
Habari zenu wakuu..
Naomba mwenye ujuzi au maufundi ya jinsi ya kudownload video kuleee youtube anipe
mana google nasikia waameblock ile njia ya kuandika(ssyoutube.com) na nimejaribu jna nimeshindwa msaada wenu tafadhari
 
Bila shaka ni kupitia simu.
Kama unatumia smartphone google app inaitwa tubemate kisha dawnload utapakuwa youtube video vizuri tu. Hakikisha hiyo tubemate ni original maana zipo fake nyingi tu.
Kama huna smartphone basi tumua tubidy lkn si video zote utazipata na hazina ubora (quality) vzr
 
Tubemate original ipoje.. Mana nimeiweka lakin haidownload haina maelekezo
 
Back
Top Bottom