Niliwahi kuwa na Iphone 4, njia rahisi download UC browser, fungua youtube kupitia hiyo kitu, fungua video yako' ikiinza upande wa kulia utaona alama ya mshale na kopa' click kwenye alama ya mshale video itakuwa ina jisave automatically" kumbuka video zako zote unazo download ukizitaka kuangalia kwa muda mwengine utaingia tena Uc browser utaona sehemu ya video utaziona video zako zote" ni rahisi mno" kumbuka hiyo ni kw iphone ila ukijaribu kwenye cm za android inakuwa tofauti kidogo.