Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kuna browser moja inaitwa Torch. Ni nzuri zana. Ukiitumia kudownload inakushushia mafaili 2. Moja audio na jingine video
 
Samahanini maana sijajua Kama Hapa ni mahali sahihi. Naomba kwa anayejua jinsi ya kudownload video YouTube anielekeze plse..
 
Youtube downloader inalipiwa ukitaka za kijanja nenda kat.cr utapata hadi ytd pro
 
Usihangaike,

Mfano ukishaselect video, nenda kwenye url utaona imeanza na http/:www.youtube.maelezo kibao

Kwenye hiyo link nenda ondoa ile http:www then weka ss
Mfano itakuwa hivi
ssyoutube.maelezo mengine. Then unapakua mzigo. Kuna mtu kaweka link ya maelekezo hapo juu
 
ukianza na kuweka hzo ss utapata video kwa format ya .webm ambayo ina quality ya kawaida sana... i mean utakisa hd mp4. cha msingi ingia www.kat.cr then download idm latest version na rack yake ili uenjoy maisha...
 
pia kuna njia nyingine ya kuweka add-ons.. hapa unakuwa unainsert downloader ndani ya browser.. then automatically your browser inakua nauwezo wa kudownload video popote itakapotokea... iwe youtube au site yoyote yenye flash videos... ni njia rahis na haihitaji updates wala activation..
 
Samahanini maana sijajua Kama Hapa ni mahali sahihi. Naomba kwa anayejua jinsi ya kudownload video YouTube anielekeze plse..
Nimepata na nyingie hapa ila mi napendaga hii ya kuondoa www, katika adress na kuweka ss
 
Samahanini maana sijajua Kama Hapa ni mahali sahihi. Naomba kwa anayejua jinsi ya kudownload video YouTube anielekeze plse..
kama unatumia PC tumia browser ya Mozila Fire Fox nenda setting (open menu) upande wa kulia chini ya close button ya mozila then ukifungua utaona vitu vingi sasa wewe nenda moja kwa moja kwenye sehemu imeandikwa add-ons.

click hiyo add-ons then itafunguka na utaona sehemu ya kusetia imeandikwa search all add-ons, ingia hapo na uandike youtube video and audio downloader. then fanya kuinstall kwenye mozila browser itaonekana pembeni ya open menu.

Baada ya hapo we ingia youtube search video unayoipenda thenunaclick hiyo add-on ikifunguka nenda sehemu imeandikwa "download links" ukidownload link utakuwa tayari unadownload video.

Hii add-on unaweza kuitumia kudownload video ya fomart yoyote ile kama MP4, 3gp, etc.... na katika mwonekano wowote kama HD 1080p, 720p, 420p etc.....

ukiona hii njia huielewi unaweza kudownlod software youtube video downloader
 
Back
Top Bottom