Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

kama una firefox tumia add on inaitwa flash video downloader ni backup nzuri ya idm incase idm ikishindwa kudetect video.
 
Download Browser inaitwa "Tourch Brower" ni noma aseee,Ina ina Downloader yake.....yaan ukiplay any video kweny site yoyote, Downloader ya hii video itasema "Download this Video or Audio"

Is just simple as drinking colda water.
 
Mbali na IDM Internet Download Manager naweza kutumia software gani kudownload movie ambayo ina panda/kufanya kazi kama IDM, cause IDM sometime haipand baadh ya site hivyo inaniwiya vigumu Kudowload ...please friends help me

Tumia eagleget.com ni mbadala wa IDM
 
Alternatively pia hapo kwenye anuani yaani url hakuna aja ya kufuta unachotakiwa kufanya ni kuongeza ss kabla ya neno youtube.
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza

KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
 
Download Browser inaitwa "Tourch Brower" ni noma aseee,Ina ina Downloader yake.....yaan ukiplay any video kweny site yoyote, Downloader ya hii video itasema "Download this Video or Audio"

Is just simple as drinking colda water.
tourch au torch browser...?
 
Download Browser inaitwa "Tourch Brower" ni noma aseee,Ina ina Downloader yake.....yaan ukiplay any video kweny site yoyote, Downloader ya hii video itasema "Download this Video or Audio"

Is just simple as drinking colda water.

naitumia hii browser aisee wako vizuri sana tena inaweza kudownload torrents bila Utorrent balaa
 
Unaweza tumia Baidu browser wana built in download manager so haitaji idm kudownload video
 
Back
Top Bottom