richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
process ndo sijajua ku enable ..Mbona nimejaribu kuingia humo naona kwangu ina download tu..ume enable idm extension kweny browser yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
process ndo sijajua ku enable ..Mbona nimejaribu kuingia humo naona kwangu ina download tu..ume enable idm extension kweny browser yako?
Unatumia browser gani?process ndo sijajua ku enable ..
ahah huwa natumia Google Chromekama una firefox tumia add on inaitwa flash video downloader ni backup nzuri ya idm incase idm ikishindwa kudetect video.
Internet Download Manager Universal Crack is Here ! [IDM 6.25 Build 12 UPDATED]mwenye idm download manager ambayo sio trial please
IDM integration into Chrome does not work. What should I do?ahah huwa natumia Google Chrome
Mbali na IDM Internet Download Manager naweza kutumia software gani kudownload movie ambayo ina panda/kufanya kazi kama IDM, cause IDM sometime haipand baadh ya site hivyo inaniwiya vigumu Kudowload ...please friends help me
Alternatively pia hapo kwenye anuani yaani url hakuna aja ya kufuta unachotakiwa kufanya ni kuongeza ss kabla ya neno youtube.
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple
1. Ingia www.youtube.com
2.Tafta video unayoitaka then iplay
3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss
Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza

tourch au torch browser...?Download Browser inaitwa "Tourch Brower" ni noma aseee,Ina ina Downloader yake.....yaan ukiplay any video kweny site yoyote, Downloader ya hii video itasema "Download this Video or Audio"
Is just simple as drinking colda water.
Torch browser.tourch au torch browser...?
ngoja namimi niicheki...napenda sana series za kikorea,movie za kutisha na science fictiousTorch browser.
Ni nzur sana mkuu, utafurahi mwenyewe....Kwenye Series za Kikorea uingie "Gooddrama.net"ngoja namimi niicheki...napenda sana series za kikorea,movie za kutisha na science fictious
Download Browser inaitwa "Tourch Brower" ni noma aseee,Ina ina Downloader yake.....yaan ukiplay any video kweny site yoyote, Downloader ya hii video itasema "Download this Video or Audio"
Is just simple as drinking colda water.
Yaap, wamejitahidi sana wale jamaa..naitumia hii browser aisee wako vizuri sana tena inaweza kudownload torrents bila Utorrent balaa
umeshapata mkuu?mwenye idm download manager ambayo sio trial please
Nenda torrent zimejaa mkuumwenye idm download manager ambayo sio trial please