Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
symbian pia ni smartphone,Simu yangu sio smartphone natumia nokia E5 inatumia os ya symbian
symbian pia ni smartphone,
tumia njia ya ss, url
m.youtube...............
futa m na . ongeza ss iwe
ssyoutube.............
then click ok itaload halafu utapelekwa site ya kudownload hio video.
kama operamini itakataa tumia opera mobile au ucweb
njia hio hio, kunaAsante kwa maelekezo mkuu.
Siku za nyuma nilikuwa napakua kwa mfumo huo uliolekeza kwa kutumia operamini, nashangaa siku hizi inagoma.
Nashukuru ngoja nijaribu opera mobile.
Lakini sijaelewa kwenye ucbrowser natumia njia zipi?
njia hio hio, kuna
-opera mini
-uc mini
na
-opera mobile
-uc browser
hizo mini zinasumbua kwenye javascript sehemu ukiambiwa wait sekunde kadhaa inaweza ikanata hapo hapo isiendelee ila ucbrowser na opera mobile zinakubali,
Nimeweke opera mobile classic inagoma hata kufungua youtube inasema "network problem"
Tumia uc browser mkuu. Thanks.
Salute kwako mkuuKUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple
1. Ingia www.youtube.com
2.Tafta video unayoitaka then iplay
3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss
Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
mbona mimi nimewezaa,inakupeleka kwenye page nyingine ndio na huko ndipo pakwenda kudownloadia......duuuh nimefail,, mbona inanipleka kwenye page tofauti kabisa