hii ndo nayoitumia
Siku nyingine uwe uataja na kifaa unachotumia ili kuwarahisishia washauri....Habari wa jamii naomba msaada kujua jinsi ya Ku download video YouTube asante ni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima, akiondoa https://www. wakati video ikiwa inplay kisha akareplace na ss anadownload bila matatizo...hizi link zenu nyingine ni mitego ya watu wasiojulikanaTembelea youtube kisha copy video link. Kisha tembelea youtube17.com kisha paste link kisha bofya download. Video itakuwa tayari. Enjoy.
Hata mimi zanani nilikuwa natumia lakini mara nyingi huwa inashindwa ku..download baadhi ya video. lakini Downloading youtube videos made easy haijawahi kushindwa ku..download video hata moja.Process yote ngumu hivyo. Mi hutumia ile ya kuongeza ss katika url then unabonyeza enter inakupeleka save from net
Mfano: http://www.ssyoutube/Joh-makini-waya-official........
Kisha unachagua fomart kuanzia 240p mpaka 1080p then unadownload
Anhaa, ile njiaa ya ss baadhi ya muda huwa inashindwa ku..download lakini hiyo youtube17 mara zote inafanya vizuri sanaSiyo lazima, akiondoa https://www. wakati video ikiwa inplay kisha akareplace na ss anadownload bila matatizo...hizi link zenu nyingine ni mitego ya watu wasiojulikana
Tuko pamoja mkuu.