Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

playstore hakuna,hawawezi wakafanya kitu kama hicho kwa sababu kudownload video youtube ni crime!
 
Tumia YOUTUBE VIDEO DOWLOADER (YTD) au INTERNET DOWNLOADING MANAGER(IDM) AU FREEMAKE VIDEO DOWNLOADER.

YTD na FReemake zipo free na Pro ambazo ni za kununua, IDM ni ya kununua haipo ya freei
 
Wanasemaga kizuri kula na nduguyo eeh??.
Basi ngoja niwaambie kuna application inaitwa "VIDMATE"
hiyo ni noma yan ina download videos facebook,youtube,instagram na hata social networks nyingine nyingi ina download tena hii unachagua quality uitakayo.na ina uwezo wa kudanlod videos had 4 kwa wakat mmoja.
Hii application imetengenezwa INDIA ni noma yan.
Na nnasikia wanalotoleo had la kusupport kwenye pc ila hili bado sijali experience vizuri.
 
Sio lazima uwe na App ili udownload video Youtube ila ukitaka kutumia App tumia Vidmate ndiyo iko poa.
 
Wanasemaga kizuri kula na nduguyo eeh??.
Basi ngoja niwaambie kuna application inaitwa "VIDMATE"
hiyo ni noma yan ina download videos facebook,youtube,instagram na hata social networks nyingine nyingi ina download tena hii unachagua quality uitakayo.na ina uwezo wa kudanlod videos had 4 kwa wakat mmoja.
Hii application imetengenezwa INDIA ni noma yan.
Na nnasikia wanalotoleo had la kusupport kwenye pc ila hili bado sijali experience vizuri.
Mie huwa nadowloadia hadi movie iko fasta.
 
Wakuu naombeni msaada kuipata hiyo application kama kichwa cha habar kinavyojieleza
Nawasilisha.
Hakuna kitu kama icho cha kupata apps za kufanya kazi izo kutoka play store,,,,, Tafuta app moja inaitwa VIDEODER kutoka google andika "videoder apk" utaipata na utainstall
 
Hakuna kitu kama icho cha kupata apps za kufanya kazi izo kutoka play store,,,,, Tafuta app moja inaitwa VIDEORDER kutoka google andika "videorder apk" utaipata na utainstall

Shukrani sana mkuu
 
Hii ndo raha ya kuwa jf kila kitu kinapatikana hapa safi wakuu
 
Back
Top Bottom