Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Tafuta kitu inaitwa 'Youtube downloader' then install it kwenye computer yako. Copy url ya video unayotaka kisha fungua youtube downloader yako, paste url hiyo kwenye kisanduku mahali pameandikwa video url then click download (chini kabisa kulia kwenye hiyo youtube downloader. Subiri ikimaliza kushusha itakuambia 'download is complete', bofya hapo kwenye 'ok'.
Kuona video yako fanya hivi: Angalia twenye youtube downloader yako mahali ambapo pameandikwa 'open' kisha bofya. 'Open' ipo juu ya hapo palipoandikwa 'download' upande wa kulia chini.
 
Mwenye maelekezo au maujanja ya junsi ya ku download vidie za you tube anielimishe....
Google "Vidmate apk" then install hiyo App, ukiifungua inaweza ku-download youtube videos lakini pia inaweza kuconvert hizo videos into mp3 & mp4 bonge la APP
 
Kama hutpjali download hii videoder.apk i search kwa google.com ni mwisho w matatizo
 
Wakuu naombeni msaada kuipata hiyo application kama kichwa cha habar kinavyojieleza
Nawasilisha.
 
Wakuu naombeni msaada kuipata hiyo application kama kichwa cha habar kinavyojieleza
Nawasilisha.
Mimi kila siku na-download videos kiurahisi sana kwa kutumia 'Tubemate'
Screenshot_2017-10-10-08-21-55.png
 
Mimi napakua video ninayoitaka you tube bila kutumia app yoyote.
 
Back
Top Bottom