uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
andika neno wapsow au wapsung video download na kisha angalia link ya chini kama hii wapsow.site/category/video/assamese-video-song,,,,,,,,,,,, itokee hilo neno , maana yake youtube ya kihindi itatokea na video zote za you tube utazipata hapo , hakikisha unatumia browser ya UC , ninatumia sana katika simu yangu ya tecno ila sijatumia katika PC. sasa kinachokuja itakupa namna ya download this video!!! utakachofanya ni ku download katika option zote browser yako itakavyokuonyesha na video zinakuwa saved katika simu .