Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

vp shekhe kwenye laptop?

1. Fungua Youtube video yoyote.

2. Copy link yake pale kwenye address bar. Kwa mfano:

3. Paste hiyo link kwenye address bar (New) then ondoa http://www na uanze na ss.
ssyoutube.com/watch?v=m6WhGjujywM&pbjreload=10

4. Then press ENTER


5. Picha itafunguka na kuonesha sehemu ya kupakua

NB: Ili kuondoa usumbufu unaweza kurudia hizi hatua kila unapotaka kupakua video ya Youtube. Fanya yafuatayo

1. Fuata hatua ya 1- 4 nilizozieleza hapo juu.

2. Baada ya hapo mbele ya neneo savefrom.net bonyeza Install. Hii itakusaidia kila
ufunguapo video kitufe cha download kitakuja automatically. Angalia hapa chini jinsi
kitufe cha download kipo kimejitokeza baada ya kuifungua hii video.
 
Ahsante, Kwa Kuongezea.
 
yaan uingie youtube ukop,then utoke uend crom upaste nk wakat hiy hiy app nachek yutub dn downld simpl.
 
Simply download gbinstagram tu...ina option ya Ybdownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…