Mkali Tricks
JF-Expert Member
- Aug 18, 2017
- 488
- 311
Umetumia Google Chrome Au Operamini?Eti inanambia download link not found
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia Google Chrome Au Operamini?Eti inanambia download link not found
Asante piaAsante mkuu
vp shekhe kwenye laptop?
1. Fungua Youtube video yoyote.
2. Copy link yake pale kwenye address bar. Kwa mfano:
3. Paste hiyo link kwenye address bar (New) then ondoa http://www na uanze na ss.
ssyoutube.com/watch?v=m6WhGjujywM&pbjreload=10
4. Then press ENTER
5. Picha itafunguka na kuonesha sehemu ya kupakua
NB: Ili kuondoa usumbufu unaweza kurudia hizi hatua kila unapotaka kupakua video ya Youtube. Fanya yafuatayo
1. Fuata hatua ya 1- 4 nilizozieleza hapo juu.
2. Baada ya hapo mbele ya neneo savefrom.net bonyeza Install. Hii itakusaidia kila
ufunguapo video kitufe cha download kitakuja automatically. Angalia hapa chini jinsi
kitufe cha download kipo kimejitokeza baada ya kuifungua hii video.
Hilo ndilo tatizo la njia hiyoShida yake huwezi kudownload video za 1080p au 4k
Ahsante Kwa Kuliona Hilo.Hilo ndilo tatizo la njia hiyo
Mbona mii imebuma!Ahsante Kwa Kuliona Hilo.
Umekwama Wapi Mkuu?Mbona mii imebuma!
Sauwa.Ngoja niongeze Mb nijaribu
Pamoja.[emoji122] [emoji122] [emoji122] mkuu.
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KU DOWNLOAD YOITUBE & INSTAGEAM VIDEOS BILA APPLICATION YOYOTE.
Je We we Ni Mmoja Wa Wanaotumia Application Ku download YouTube & Instagram Video? Kama Jibu Ni Ndio Basi Ifuatayo Ni Njia Mbadala Ya Kupakua Video Za YouTube Na Instagram
MAHITAJI
-SmartPhone
-Mbs
-App Ya YouTube & Instagram
-App Ya Google Chrome / OperaMini.
1.YouTube
-Nenda Kwenye Hiyo Video Kisha Bofya SHARE
-Bofya COPY LINK
-Ingia GOOGLE CHROME / OPERA MINI, nenda sehemu ya kuandika Url, Kisha andika (savefrom.net) bila mabano
-Paste Link Uliyoi-copy, Palipoandikwa ENTER THE URL
-Chagua Format Uitakayo (Mfano Mp4)
-Bofya Download
UKIMALIZA KU DOWNLOAD, VIDEO YAKO UTAIKUTA KWENYE GALLERY
AMA KUHUSU INSTAGRAM, UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HAPO CHINI.
Hii Ni Special Kwa Wale Ambao Hatupendi Kujaza Mi Apps Isiyo Na Faida.yaan uingie youtube ukop,then utoke uend crom upaste nk wakat hiy hiy app nachek yutub dn downld simpl.
Tuko Pamoja.OK mkuu
Baada ya kupaste kwenye .savefrom...Umekwama Wapi Mkuu?