Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kila mtu ana mapenzi yake, wewe unaweza ona ni bora kujaza simu yako na mi apps mingi wakati mimi naona ni upuuzi na naona njia ya mkali ndio bora so we fanya kitu roho inapenda at the end kila mtu kapata kile moyo unataka.
Kujaza app how? Ili hali ushasema uwe na insta app ndio u copy link then uje upaste kwenye web ya savefrom, hapo ni sawa na ku futa hiyo instagram na kuweka hiyo gb insta, au og insta DONE.
Kama zote hizo utaona unajaza app as yu said, basi weka videoder ina jitosheleza kwa vyote ulivyo eleza hapo juu.

Hizo savefrom au kuweka ss ni njia za kizamani watu walisha toka huko mkuu.
 
Santeeeeeeeee
 
Aisee kweli...nishadowload ka 6 hivi..asante mkuu nilikua sisilifaham hilo
 
Mm nashindwa, nikisha paste link inaniambia download link not found
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…