SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Kujaza app how? Ili hali ushasema uwe na insta app ndio u copy link then uje upaste kwenye web ya savefrom, hapo ni sawa na ku futa hiyo instagram na kuweka hiyo gb insta, au og insta DONE.Kila mtu ana mapenzi yake, wewe unaweza ona ni bora kujaza simu yako na mi apps mingi wakati mimi naona ni upuuzi na naona njia ya mkali ndio bora so we fanya kitu roho inapenda at the end kila mtu kapata kile moyo unataka.
Kama zote hizo utaona unajaza app as yu said, basi weka videoder ina jitosheleza kwa vyote ulivyo eleza hapo juu.
Hizo savefrom au kuweka ss ni njia za kizamani watu walisha toka huko mkuu.