Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kila mtu ana mapenzi yake, wewe unaweza ona ni bora kujaza simu yako na mi apps mingi wakati mimi naona ni upuuzi na naona njia ya mkali ndio bora so we fanya kitu roho inapenda at the end kila mtu kapata kile moyo unataka.
Kujaza app how? Ili hali ushasema uwe na insta app ndio u copy link then uje upaste kwenye web ya savefrom, hapo ni sawa na ku futa hiyo instagram na kuweka hiyo gb insta, au og insta DONE.
Kama zote hizo utaona unajaza app as yu said, basi weka videoder ina jitosheleza kwa vyote ulivyo eleza hapo juu.

Hizo savefrom au kuweka ss ni njia za kizamani watu walisha toka huko mkuu.
 
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

JINSI YA KU DOWNLOAD YOITUBE & INSTAGEAM VIDEOS BILA APPLICATION YOYOTE.

Je We we Ni Mmoja Wa Wanaotumia Application Ku download YouTube & Instagram Video? Kama Jibu Ni Ndio Basi Ifuatayo Ni Njia Mbadala Ya Kupakua Video Za YouTube Na Instagram

MAHITAJI
-SmartPhone
-Mbs
-App Ya YouTube & Instagram
-App Ya Google Chrome / OperaMini.

1.YouTube
-Nenda Kwenye Hiyo Video Kisha Bofya SHARE
-Bofya COPY LINK
-Ingia GOOGLE CHROME / OPERA MINI, nenda sehemu ya kuandika Url, Kisha andika (savefrom.net) bila mabano
-Paste Link Uliyoi-copy, Palipoandikwa ENTER THE URL
-Chagua Format Uitakayo (Mfano Mp4)
-Bofya Download

UKIMALIZA KU DOWNLOAD, VIDEO YAKO UTAIKUTA KWENYE GALLERY

AMA KUHUSU INSTAGRAM, UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HAPO CHINI.


Santeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom