Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos


Hhahahahha IT WORKS kamanda mungu akubariki sana asee dah maana kun mambo nilikuwa nayahitaji sasa umeni rahisishia kazi ARIF thankyuu sana!!ONELAV
 
Ukiwa na android... Tafuta software ya "tubex" utakuwa umemaliza kazi, utanyonya mizix na mamovie na kuhamishia kwa pc lako


Kwa pc.... Imtoo youtube downloader itakufanya uongeze miaka ya kuishi.....

From PJN @ Selous Forest
 

thanks buddy
 
Option nyingine kwa wanaotumia
simu click HAPA shuka chini kuna
sehemu imeandikwa youtube videos
download, then ingia hapo uta
download video unayotaka..au kwa
wanaotumia browser ya Ucbrowse ingia download zone utakuta hiyo
link ya hotjatt na nyingine za
kudownload kupitia youtube
 


Big up sana mkuu! It works perfectly!!!
 
Kama ni iPhone weka kitu cha MixTube utapata kila kilichopo YouTube !!
 
ingia youtube then copy the link of the video you want and then ipaste kwenye sitE hii clipconverter.cc hapo unachagua na format unayoitaka!
 


mm kuna njia nyngne huwa natumia

kwanza ni kupitia hii web
http://vuclip.com
ukifika hapa unasearch jina la vdeo au unasearch username la mtu alie upload hyo vdeo! Mfano nenda kasearch NURBERTY Utaona vdeo zangu enz nipo skul.

Pili huwa natumia hii http://tubidy.mobi hapa nasearch jna la vdeo! Kama haipo nenda youtube af copy username af search! Usipoiona vdeo copy title ya vdeo yote pamoja na username ya aliye upload. Mfano vdeo inaitwa happy day ever ime uploadiwa na nurberty nend kasearch
HAPPY DAY EVER BY NURBERTY. Hapo lazma utaipata.
 

hey hey hey! Asante sn na mungu akuongezee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…