Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

kumbe ni miziki tu? Nimeamini mchawi ni.....
 
wadau naomba kujuzwa jinsi ya kudowload youtube zilizopo kwenye site nyingi kama video za muziki na nyingine nikifungua tube sioni sehemu ya kudowload hiyo tube
 
Nisaidieni wakuu kwani natumia phone aina ya Sony Ericsson P990i,natanguliza shukrani
 
kama unatumia simu nadhani siku kuna add-on kibao za kudownload video youtube amabzo uwa unaziinstall pamoja na browser unayotumia, mfano mimi uwa natumia firefox kwenye simu nilidownload addon kudownload video via phone, pia kuna addon za maxthon browser.... sijui kuhusu opera coz sijaitumia muda sasa
 
wadau naomba kujuzwa jinsi ya kudowload youtube zilizopo kwenye site nyingi kama video za muziki na nyingine nikifungua tube sioni sehemu ya kudowload hiyo tube

Wala huhitaji program yeyote. Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net.

Kwenye page ya 'save from net' utakuta option upande wa kushoto mfano: mp4, flv, 3gp.. Chagua format unayotaka na video itaanza kudownload. Huhitaji ku'install program ingine yeyote. You can do it from the web.
 
MwafrikaHalisi, asante sana mkuu kwa ujuzi mpya maana hata kwa simu yangu imekubali bila shida!!
 
kama unatumia firefox, then solution nzury ni kuweka add-on inayoitwa "downloader helper"...!!!
hio inadownload any kind of video format from any site, including youtube...!!!
 
Wala huhitaji program yeyote. Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net.

Kwenye page ya 'save from net' utakuta option upande wa kushoto mfano: mp4, flv, 3gp.. Chagua format unayotaka na video itaanza kudownload. Huhitaji ku'install program ingine yeyote. You can do it from the web.

Thanks Dude! You are an Angel..
 
Back
Top Bottom