Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

pia kama watumia internet explorer katika PC yako download real player and then install it baada ya kuactivate hiyo real player fungua browser (internet explorer) baada ya kuingia you tube peleka kasa yako juu kulia kidogo ya hiyo video inayo play itatokea option ya "download this video" uki click tu oh yeah there you go. ukitaka hizo software za real player na zingine please visit FileHippo.com - Download Free Software.
karibu sana.
 
pia kama watumia internet explorer katika pc yako download real player and then install it baada ya kuactivate hiyo real player fungua browser (internet explorer) baada ya kuingia you tube peleka kasa yako juu kulia kidogo ya hiyo video inayo play itatokea option ya "download this video" uki click tu oh yeah there you go. Ukitaka hizo software za real player na zingine please visit filehippo.com - download free software.
Karibu sana.

hii haina tija afu ni mwendo wa konokono!! Njia ya kuondoa www na kuwekaq ss ndo mzuka mwana
 
wadau naomba kujuzwa jinsi ya kudowload youtube zilizopo kwenye site nyingi kama video za muziki na nyingine nikifungua tube sioni sehemu ya kudowload hiyo tube

kama unataka kuziplay utaweza lakini sio ku download..kwa sasa zimewekewa kizingiti kwa sababu ya copy rights, na piracy laws.zamani kunako mwaka jana kurudi nyumba ilikuwa unaweza ku download na ko copy na convert kwenda version nyengine lakini sasa wla usihangaike.hata real player ukiwa nayo basi huwezi .
 
Wala huhitaji program yeyote. Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net.

Kwenye page ya 'save from net' utakuta option upande wa kushoto mfano: mp4, flv, 3gp.. Chagua format unayotaka na video itaanza kudownload. Huhitaji ku'install program ingine yeyote. You can do it from the web.


Mkuu MwafrikaHalisi;

Respect sana Kamanda wangu!
 
Last edited by a moderator:
Fungua youtube na utafute video unayoitaka then nenda kwenye address bar, futa www. alafu weka ss yani kama Wellington Silva - Arsenal's Future - YouTube unafuta inabaki ssyoutube.com/watch?v=aJze590ssyM&feature=g-vrec kisha bonyeza ENTER. Itafunguka website kwa ajili ya kuidownload hiyo video utaiona inaitwa save from net[/CO

thanx bro, glady u joined jf
 
Wanasayansi ukitaka ku-download muziki kutoka youtube unafanyaje???
Nipeni stepu za kufuata!
 
1.Install IDM downloader
2.Play video kwenye you tube then copy hyo link then kwenye youtube toa hilo neno weka voobsy then weka enter utaidownload pasipo kutumia software
 
thanks! but hiyo IDM naipataje..endelea kunijuza make haya mambo ni mageni kwangu!

1.Install IDM downloader
2.Play video kwenye you tube then copy hyo link then kwenye youtube toa hilo neno weka voobsy then weka enter utaidownload pasipo kutumia software
 
Tumia internet downloading manager ni nzuri sana. Wewe i google utaipata,alafu install. Ila utapata trial ya siku 30.
Na ni nzuri ukiwa na browser ya mozilla.
 
google you tube downloader, ni software zitakazokuwezesha kudownload video za you tube,
ukishadownload hizo software una-copy video url ya kutoka you tube then una-paste kwenye hizo software,
kisha una-download kiulaini tu,
 
Tafadhali naomba msaada wa namna ya ku-download video kutoka kwenye YOUTUBE. Thanks in advance.
 
Tafadhali naomba msaada wa namna ya ku-download video kutoka kwenye YOUTUBE. Thanks in advance.

kwenye 4n ama pc?
Cuz kwny pc ni easy ukiwa na IDM ambayo ikiwa integrated with your browser!
 
Kwenye Google chrome inakuwa rahisi. Nenda chrome web store, tafuta extension inaitwa YouTube Downloader and then thats it. Ukishaongeza, ukienda youtube chini ya video unayoaangalia utaona button ya DOWNLOAD. tiyari!

add.jpg

kisha..
dl.jpg
 
Naomba mnipatie tafadhali, IDM na Real player zinanigomea.
 
download add.on za firefox youtube downloader au download direct ukiwa na maxthon browser
 
Back
Top Bottom