Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

anataka kushusha video mkuu, sio mp3 kutoka video, wife charminglady kumbe unatokea tokea huku ama kweli mke wa fundi nae atakuwa fundi soon

dah alivotaka nyimbo nkajua mp3

video easy futa neno www. Au m. Na ongeza neno ss

mfano url ipo hivi www.yutubu.kom/videoyangu futa www. Iwe ssyutubu.kom/videoyangu

then click ok utapelekwa download page
 
Last edited by a moderator:
dah alivotaka nyimbo nkajua mp3

video easy futa neno www. Au m. Na ongeza neno ss

mfano url ipo hivi www.yutubu.kom/videoyangu futa www. Iwe ssyutubu.kom/videoyangu

then click ok utapelekwa download page

yeah Chief. Na mimi pia naitumia njia hii.
Na njia nyingine ni kwenda website hii
www.tubidy.com
video nyingi sana, kama sio zote, za youtube utazikuta huko.
Na utachagua kama unataka ku-download video au audio
 
Asanteni sana. Nilimuuliza mkongwe mmoja pm akanijibu kwa pozi. Kumbe nae hajui, dooh!
Ngoja nijifanyishe makeke hapa.
 
Wana JF habari za saa hizi. Naomba mnieleweshe jinsi ya kudownload kwenye kutumia mtandao wa you tube,kwani kila nikijaribu huwa na shindwa,nilijaribu ku log in lakini nilipotaka ku download ikashindikana,nikahisi labda inatokana na kifaa nachotumia(simu) lakini sifahamu,msaada jamani naombeni sana.
 
Kudownload kwa simu inasumbua sana unatumia simu ya aina gani? (Taja model number kabisa) then tutaweza kujua jinsi ya kutatua tatizo lako.
 
Kudownload kwa simu inasumbua sana unatumia simu ya aina gani? (Taja model number kabisa) then tutaweza kujua jinsi ya kutatua tatizo lako

Sorry kwa ku late ila natumia nokia c1-01.
 
Kuna kitu inaitwa youtube downloader, ila aint sure kama ni compatible with ur device.
 
Ok, sijajua nini kimetokea kwa youtube, nami nilikua natafuta jibu coz nilikua na youtube downloader na ilikua inafanya kazi vizuri sana ghafla ikagomma na haikua kwangu hata watu wakaribu niliwauliza.
 
Astro; Mi natumia Nokia N73

Tunusuru Mkubwa!

Kudownload kwa simu inasumbua sana unatumia simu ya aina gani? (Taja model number kabisa) then tutaweza kujua jinsi ya kutatua tatizo lako
 
Last edited by a moderator:
ok, sijajua nini kimetokea kwa youtube, nami nilikua natafuta jibu coz nilikua na youtube downloader na ilikua inafanya kazi vizuri sana ghafla ikagomma na haikua kwangu hata watu wakaribu niliwauliza

Inawezekana ni youtube wamefanya some few changes kwenye settings zao ambayo hiyo application ya youtube downloader ndio ilikuwa ina exploit/inatumia upenyo kukuwezesha kudownload hizo videos.

Kwa Operating Systems kama windows kwenye PC au android kwenye mobile devices kuna community kubwa ya programmers wengi ambao kila siku wana-update applications zao sambamba na mabadiliko ambayo youtube et al. wanafanya, For the case of nokia ( zile zinazotumia Symbian) sometimes huwa application zao zinachelewa kidogo kupata updates or support kutokana na watumiaji wachache na decrease in popularity ya the Symbian OS
 
hii nokia C01-01 ni ngumu sana kupata application software yenye uwezo wa kudownload youtube videos kutokana na Operating System [Series 40 6th edition Lite] inayotumia ninaweza kukupa suggestion utembelee website kama WapKing - Free Ringtones, Free Videos, Free Games, Free Wallpapers, Free Themes and more free content for your mobile! wana videos tofauti kama music,movie trailers,football kwa ajili ya mobile phones

Mkuu hio simu si s40 v6 ili simu iwe version six lazma.

1. Iwe na qwerty keyboard
2. Screen yake iwe pana kuliko urefu

mfano nokia c3
 
Wana jf habari za saa hizi. Naomba mnieleweshe jinsi ya kudownload kwenye kutumia mtandao wa you tube,kwani kila nikijaribu huwa na shindwa,nilijaribu ku log in lakini nilipotaka ku download ikashindikana,nikahisi labda inatokana na kifaa nachotumia(simu) lakini sifahamu,msaada jamani naombeni sana

mkuu humu zipo njia nyingi tu za kudownload youtube nafkiri kwa ugeni wako umeshindwa kusearch

1. Njia ya kwanza ni kwa kuchange adress ya youtube mfano adress ilikua hivi

m.yutubu.komu

change iwe

ssyutubu.komu

then click ok utapelekwa page ya kudownloadia

2. Njia ya 2 ni kutembelea website zinazograb video za youtube utapata same video toka youtube sema zina uwezo wa kudownloadika website maarufu ni

Tubidy Mobile Video Search Engine

na

Vuclip | Videos | Video Clips |

3. Njia ya 3 ni kutumia apps.

Kwa s40 zipo zipo apps but simu yako ndogo dont expect that
 
mkuu hio simu si s40 v6 ili simu iwe version six lazma

1. Iwe na qwerty keyboard
2. Screen yake iwe pana kuliko urefu

mfano nokia c3

Mkuu angalia vizuri jina la OS niliyotaja ni S40 6th Edition Lite, hii ni kama downgraded version ya S40 6th Edition, hii nimepata kwenye nokia developer website ndio wameelezea vizuri kwenye link hii Series 40: Editions and Feature Packs - Nokia Developer Wiki na devices zinazotumia ni kama nokia 109,110,111,C1-01,C1-02...Hii ina support screen resolution ya 128 x 160 pixels

Chief mkwawa,katika surfing yako ya online umewahi kukutana na web service inayo convert youtube videos to a mobile friendly version kama 3GP au MP4 kwa hizi small devices na kumwezesha mtu kudownload i think kwa devices kama hizi ndio itakuwa solution nzuri.
 
Mkuu angalia vizuri jina la OS niliyotaja ni S40 6th Edition Lite, hii ni kama downgraded version ya S40 6th Edition, hii nimepata kwenye nokia developer website ndio wameelezea vizuri kwenye link hii Series 40: Editions and Feature Packs - Nokia Developer Wiki na devices zinazotumia ni kama nokia 109,110,111,C1-01,C1-02...Hii ina support screen resolution ya 128 x 160 pixels

Chief mkwawa,katika surfing yako ya online umewahi kukutana na web service inayo convert youtube videos to a mobile friendly version kama 3GP au MP4 kwa hizi small devices na kumwezesha mtu kudownload i think kwa devices kama hizi ndio itakuwa solution nzuri

Yah mkuu na mi nimeingia nimeona. Ni s40v6 lite

Website ndo hiyo nlotaja hapo juu ya kueka ss nyuma ya url. Operamini itahitajika kudownload.
 
Back
Top Bottom