SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Huitaji app yoyote, fanya hivi fungua content unayotaka kudownload huko youtube... click sehemu ya kushare...copy link...nenda kwenye browser iwe chrome au google....andika kwenye searchbox maneno haya 'savefrom.net'..... itafunguka kisha utapaste ile link kwenye hiyo browser mpya ya savefrom, itasearch na kwa pembeni kutatokea opt ya kuchagua ukubwa wa format,.... ukishafanya uchaguzi click download na itaanza kupakua kwenda kwenye kumbukumbu zako za simu.Naomba msaada ni App gani iko poa ku pakua videos toka YouTube nataka niipate ya free kupitia Google Play store
Mwenye Idea Pls.