Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Naomba msaada ni App gani iko poa ku pakua videos toka YouTube nataka niipate ya free kupitia Google Play store
Mwenye Idea Pls.
Huitaji app yoyote, fanya hivi fungua content unayotaka kudownload huko youtube... click sehemu ya kushare...copy link...nenda kwenye browser iwe chrome au google....andika kwenye searchbox maneno haya 'savefrom.net'..... itafunguka kisha utapaste ile link kwenye hiyo browser mpya ya savefrom, itasearch na kwa pembeni kutatokea opt ya kuchagua ukubwa wa format,.... ukishafanya uchaguzi click download na itaanza kupakua kwenda kwenye kumbukumbu zako za simu.
 
Sio lazima kutumia app tumia Online Video Engine unapaste link ya video then inakuletea link za kudownload then unachagua Format na quality unayotaka, pia itaconvert na kukupa link ya kudownload audio tu kama utahitaji, pia inakuruhusu kudownload hata kama network unayotumia imezuiwa isikuruhusu kudownload video za youtube kwa kubonyeza sehemu iliyoandikwa Proxy, icheki hapa www.download.onlineapptv.one
 
NJIA NYEPESI ZAID: FUNGUA VIDEO ZA YOUTUBE KWA KUTUMIA BROWSER(Opera min, Firefox Chrome e.t.c) kisha pale kwenye search bar ONGEZA double s nyuma ya youtube mfano m.ssyoutube.com/watch?v=HYE_atB7mQgM Faida yake, itakusaidia kuchagua quality ya video kulingana na MB zako. Pia kama video ina subtitles unaweza kuchagua lugha uipendayo ya subtitle
 
Nenda ktk setting ya simu yako, yaani "setting-security-allow un authorised device-toa tiki"
Baada ya hapo Download:
1.Vidmate apk
2.Tubemate apk, kupitia operamin.com au ucmin au pitia google.com au chrome.com
 
Back
Top Bottom