Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

dabriu dabriu dot download youtubeonline dot com
 
Wadau najua jukwaa hili lina watalaam kibao wa IT ,mara nyingi nimekuwa nikipata majawabu ya matatizo yangu mbalimbali humu hivyo kuongeza ujuzi katika matumizi ya simu na pc yangu.

Naomba msaada. wadau
videoder ndio the best kwangu
videoder.net
pakua hiyo kwa pc app au simu
 
Napendekeza kutumia TUBEMATE APP, inakupa machaguo yote ya format za kudownload. Naichagua hii zaidi ya vidmate kwa sababu vidmate ina notification za matangazo ambazo saa nyingine huwa sio nzuri. Soma HAPA jinsi ya kutumia au zaidi soma JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO ZA YOUTUBE KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID – 1Sky
Vidmate ndio master maana hiyo tubemate kuna baadhi nyimbo huwa zinagoma . Japo niliitumia maiaka mi2 nyuma ila haiko vyema kama vidmate bana
Na pia vidmate nayo pia iko na feature unaweza download mp3
 
Nilionesha udhaifu wa vidmate niliouona, na mdau hapa juu ameonesha udhaifu wa tubemate ukisoma izo mbili unaweza kujua chaguo lako. zote zinadownload video za youtube.
Sawa sawa nmekupata
 
Wakuu

Japo ni out of topic,please kama kuna mtu anajua vitu gan huhitajika katika kutafsiri movie

Mfano hawa djs wanaoingiza swahili kwenye movie

Swali langu ni devices i must posses to run it
Huhitaji kitu chochote ispokua movie unayotaka kuitafsiri ambayo imeshatafsiriwa.
 
Nimejaribu kutumia documents iPlay bado haziridhishi naomba kwa anayejua apps za ku download video direct YouTube anisaidie
 
Back
Top Bottom