moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 484
- 337
Tumia hii www.freemake.com pia hii http://www.youtubedownloaderhd.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asanteddownload tubemate ipo fasta sana
videoder ndio the best kwanguWadau najua jukwaa hili lina watalaam kibao wa IT ,mara nyingi nimekuwa nikipata majawabu ya matatizo yangu mbalimbali humu hivyo kuongeza ujuzi katika matumizi ya simu na pc yangu.
Naomba msaada. wadau
Una bahati sana downloadia hapaNimejaribu OGYOUTUBE imekataa ,mwenye ufahamu anisaidie
Vidmate ndio master maana hiyo tubemate kuna baadhi nyimbo huwa zinagoma . Japo niliitumia maiaka mi2 nyuma ila haiko vyema kama vidmate banaNapendekeza kutumia TUBEMATE APP, inakupa machaguo yote ya format za kudownload. Naichagua hii zaidi ya vidmate kwa sababu vidmate ina notification za matangazo ambazo saa nyingine huwa sio nzuri. Soma HAPA jinsi ya kutumia au zaidi soma JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO ZA YOUTUBE KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID – 1Sky
Sawa sawa nmekupataNilionesha udhaifu wa vidmate niliouona, na mdau hapa juu ameonesha udhaifu wa tubemate ukisoma izo mbili unaweza kujua chaguo lako. zote zinadownload video za youtube.
Mkuu nenda google andika “stellar browser” ikifunguka download na install kwa simu yako. Hutajuta kuifahamu mkuu. Link nimekuwekea hapa mkuu Stellar Browser (Android)Nimejaribu OGYOUTUBE imekataa ,mwenye ufahamu anisaidie
Huhitaji kitu chochote ispokua movie unayotaka kuitafsiri ambayo imeshatafsiriwa.Wakuu
Japo ni out of topic,please kama kuna mtu anajua vitu gan huhitajika katika kutafsiri movie
Mfano hawa djs wanaoingiza swahili kwenye movie
Swali langu ni devices i must posses to run it
https://videoder.en.uptodown.com/android/downloadWadau nauliza ni app gani nzuri au ambayo ipo updated kwa sasa kwa ajili ya kudownload videos za YouTube.Zamani nilikua natumia TubeMate lakini kwa sasa haipatikani tena kwenye Playstore wala Appstore.